joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
USA, Europe na Canada ambazo watu wengi Dunia huenda kufanyakazi na kutuma pesa katika nchi walizotoka pia ni mashamba ya bibi?, Kweli akili sio nywele
Kuendeleza stori ni shamba la bibi sababu wenyeji mmelala.
Remittance ya $3M?😂😂🤣😂MY TAKE; Uchumi wa Kenya hutegemea Sana "remittances", zaidi ya $3B huingia Kenya kila mwaka. Remittances zinazidi Pato la Utalii na Pato la mauzo ya maua kwa pamoja.
Remittances toka Tanzania ndio zinazoongoza kwa Afrika, hii maana yake ni kwamba, uchumi wa Kenya unategemea Sana mahusiano mazuri ya Kenya na Tanzania, hii ndio sababu kubwa ya wakenya kumkubali Sana mama Samia kwasababu ameshikilia hatma ya uchumi wa Kenya.
Bila ya Tanzania, uchumi wa Kenya unasambaratika
Tony254
dyfre
Don YF
NairobiWalker
Umepea joto la jiwe uppercut 😂😂🤣Wakenya wana akili sana nenda maeneo yote yenye financial potentials wapo. Mafinga(Mbao) wapo, Njombe na Rungwe(Avocado) wapo, na wameanza kujenga na viwanda vya ku-process Avocado wabongo tuko JF na Twitter tunasifia makalio makubwa kuretweet na kulana kimasihara. Acha wavune.
Haijaanza leo, kuna wengine wanaumwa sana wakisikia kwamba wakenya wanatuma hela kwao. Wakenya wanatuma hela kwao!
Sasa kama hamuinvest nchi za nje mtapataje remittances?
MY TAKE; Uchumi wa Kenya hutegemea Sana "remittances", zaidi ya $3B huingia Kenya kila mwaka. Remittances zinazidi Pato la Utalii na Pato la mauzo ya maua kwa pamoja.
Remittances toka Tanzania ndio zinazoongoza kwa Afrika, hii maana yake ni kwamba, uchumi wa Kenya unategemea Sana mahusiano mazuri ya Kenya na Tanzania, hii ndio sababu kubwa ya wakenya kumkubali Sana mama Samia kwasababu ameshikilia hatma ya uchumi wa Kenya.
Bila ya Tanzania, uchumi wa Kenya unasambaratika
Tony254
dyfre
Don YF
NairobiWalker
Sasa kama hamuinvest nchi za nje mtapataje remittances?
Remittances ni kwajili ya nchi ambazo uchumi wake hauna mizizi Kama Kenya, Sasa Kama Kuna madini, gas, ardhi nzuri na yakutosha kwa kilimo na ufugaji, maziwa na mito ya kutosha, Amani na usalama, vipi uviache vyote hivyo ukimbilie nchi za hovyo?,Sasa kama hamuinvest nchi za nje mtapataje remittances?
You still have to invest to grow wealthy. Many rich countries have all those yet they still invest in foreign countries.Remittances ni kwajili ya nchi ambazo uchumi wake hauna mizizi Kama Kenya, Sasa Kama Kuna madini, gas, ardhi nzuri na yakutosha kwa kilimo na ufugaji, maziwa na mito ya kutosha, Amani na usalama, vipi uviache vyote hivyo ukimbilie nchi za hovyo?,
You don't know anything about remittance.Remittance siyo profit repatriation to country of origin. Hiyo ni pesa inayotumwa na vibarua/wafanyakazi walio nje ya nchi yao. Umeelewa wewe bricks and mortar engineer!!?
No rich country which depends on remittances, they depend on "investments", working in UAE as house girls or watchman for the sake of getting money to feed your family back home, is that investment?You still have to invest to grow wealthy. Many rich countries have all those yet they still invest in foreign countries.
You are the one who don't know anything about "remittances", remittances is not the same as the profit from investment, do you want to tell us that, all 524 Kenyan companies that are in Tanzania sent only $50M back home Kenya as a profit?
Upuuzi mtupu. Kenya inaexport to Uganda kushinda Tanzania. Kenya inazitegemea nchi hizi for its export market na hutasikia Kenya ikizozana na hizi nchi nne kwa maana tunawategemea sana kwa sababu wananunua bidhaa zetu kwa sana.Technical tukifunga mipaka Kenya ina-collapse!
Kuna mtu hapa reasoning yake kuhusu remittance iko chini sana. Anadhani watu wanaotuma remittance ni house girls pekee. Hakuna engineers au madaktari wanaotuma remittance. Low iq inawasumbua. Halafu Wakenya wengi ambao wanaishi nje ya nchi hawatumi pesa ya chakula pekee bali hata pesa ya investments na wananunua shamba na kujenga majumba pia. Remittance sio tu ya daily consumption. Na school fees ya watoto utaiita daily consumption au ni investment? Of course ni investment. Investment is a broad term. Lakini akili mgando anadhani investment ina maana moja tu. Kwake kujenga factories ndio investment pekee anayojua. Anyway, hii debate mimi niliiwacha coz the level of IQ of the people on the other side is too low.