Wakenya wanaoikimbia Corona Tanzania wakamatwa maeneo tofauti mpakani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hali imekua balaa mpakani, yaani Wakenya wote wanaoishi maeneo hayo wamekua makini kupita maelezo, hakuna kuingia kinyemela tena, Wakenya wanaoikimbia Corona Tanzania lazima waingie kwenye karantini, baada ya siku 14 ikigundulika wako salama wanaachiwa wajumuike na ndugu zao.

Wamekamatwa 30 ambao walikua wanajaribu kuingia kinyemela, maana kule Tanzania sasa hivi hawafahamiki tena, wameacha kutangaza idadi ya maambukizi na kuanza tiki taka za mapaipai na matikiti maji, wabunge wameikimbia bunge baada ya kuanza kupukutika, japo hao hao wabunge wanasakwa na RC wa Dar warejeshwe bungeni kwa lazima, na huyo huyo RC wa Dar alinukuliwa akitahatharisha watu wasiingie Dar maana penyewe ni pabaya.

Tunaona nyuzi nyingi za tanzia zinaanzishwa kule kwenye jukwaa la siasa humu JF, yaani balaa sana.

Hata hivyo kisiwa cha Zanzibar wameamua kuendelea kutangaza hali yao ilivyo huko, idadi ya maambukizi kwao inapandisha kwa kasi lakini wanapambana.

======

At least 30 Kenyans over the last one week were arrested and forced into quarantine after they were found trying to cross back from Tanzania through the porous Taveta-Holili border.

Taita Taveta Governor Granton Samboja and Taveta Sub-county Police Commander Lawrence Marwa said they would stay at the Mahoo quarantine centre for the mandatory 14 days.

Mr Marwa said the Kenyans were traders fleeing from the placed where they stayed in Tanzania due to fears about the spread of the Covid-19 coronavirus disease.

They were arrested at different points along the border.

SECURITY TIGHTENED
The police boss said police security was heightened along the border to ensure all those crossing over illegally are apprehended.

Agencies are working together with chiefs, Nyumba Kumi elders and residents to ensure nobody enters the country unnoticed, he said.

"We are patrolling the border anyone who comes into the country is reported to us, arrested and put into quarantine," he said.

ESCAPEE
Last week, a man who had escaped from a quarantine facility in Tanzania managed to sneak into the country unnoticed.
Although he was later identified after seeking treatment at Taveta Sub-county Hospital, the incident raised fears among residents.

The man tested negative for the disease and was released from the hospital. In addition, Tanzania has been reporting high numbers of infections so residents and leaders in Taita Taveta fear infections will increase due to border crossings.

Taita Taveta is yet to report any case of the coronavirus, with 18 counties affected so far and a total of 607 confirmed cases of the virus in Kenya as of May 7.

HUGE RISK
Speaking while visiting the Taveta-Holili One Stop Border Post, Governor Samboja said authorities were worried about the risk the porous border posed.

He said community policing along the border had been strengthened and residents urged to report any illegal crossings.

"We are asking our citizens to work with Nyumba Kumi elders and security agencies to provide information on possible cases," he said.

The governor also said that the county emergency response committee resolved to forcefully quarantine everybody arrested along the border.

TRUCK DRIVERS
He said Taita Taveta was working with the border facility to see to it that truck drivers are tested before entering the country, as required by the government. The government is yet to kick off the testing of truck drivers at the facility as earlier announced.

Mr Samboja further said two laboratory officers were assigned to the facility so the testing could begin immediately.

"The exercise will start anytime now," he said.

Source: Daily Nation
 
Kinacho nishangaza ni kuwa kwani Zanzibar sio eneo la Tanzania?. Hii ni aibu kwa mkurupukaji Maghufuli. Baada ya kusisitiza yakuwa vyombo vya kupima vina hitilafu, Zanzibar wamempuuza na kuibuka na takwimu. Ama tuseme visiwani wako na vifaa tofauti na vile vya bara?.. Can we as well assume that Magu's command of authority does not apply to Zanzibar in totality?.
 
polymerase chain reaction test (pcr) machine ya PCR haiko tu kwa kupima corona, ipogo kabla ya corona haijaja, how it works and is calibrated yajulikana poa tu..story za jiwe zichukulie kama hekaya za babu tuu.

Testing kit za korona na reagent zake ndizo zilizokuja baada ya ujio wa corona.
 
Sasa alivyosema papai lina corona, si ni hiyo test kit iliingizwa kwa papai ikatoka na mucus za papai zikaenda pimwa huko kwa pcr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho nishangaza ni kuwa kwani Zanzibar sio eneo la Tanzania?. Hii ni aibu kwa mkurupukaji Maghufuli. Baada ya kusisitiza yakuwa vyombo vya kupima vina hitilafu, Zanzibar wamempuuza na kuibuka na takwimu. Ama tuseme visiwani wako na vifaa tofauti na vile vya bara?.. Can we as well assume that Magu's command of authority does not apply to Zanzibar in totality?.

Hawa huwa vigumu kuwaelewa, na ndio mojawapo wa sababu walishindwa kupata katiba mpya, swali la serikali ziwe ngapi liliibua mjadala nchi yote mpaka wakapiga chini zoezi lote, nakumbuka Watanganyika walitaka wawe na serikali yao Tanganyika kama Wazenj walivyo na yao, kisha pawe na moja kuu itakayoitwa muungano.

Sasa hivi walivyo, kuna jamaa yangu Mbongo alinyimwa kabisa uraia wa Zanzibar, aliomba kitambulisho akanyimwa kwenye level ya shehia inayoongozwa na sheha mmoja mtata ambaye alimwambia bila kumficha kwamba hampi.
Kule ukiwa mgeni na una vibali vya kazi vya Bongo, lazima uombe upya Zenji, au ukiwa na vya Zenji lazima uombe upya vya Bongo.

Hata nauli kwa mgeni akitokea Bongo huwa tofauti.

Leseni ya udereva ya Mbongo haifanyi kazi Zenji, lazima alipie kibali fulani huko la sivyo anakamatwa.

Zanziba wana
- Rais wao
- Polisi wao
- Bendera yao
- Wimbo wao wa taifa
- Baraza la mawaziri wao
- Bunge lao

Yaani vitu vingi tu wana vyao, unashindwa sasa kipi wanachangia na Wabongo, labda JWTZ ndio nilikua naona wanakatiza katiza kwa mikwara fulani hivi.

Siku hizi Wabongo wanakamatwa wakikutwa huko Zanzibar bila shughuli yoyote maalum, lazima atolee taarifa nyingi sana, yaani yupo kwa nani na anafanya nini na kwa muda gani.

Kuna genge fulani huwa limechanganyikana na mapolisi huzunguka usiku wakukute halafu huna huna majibu ya kueleweka, unachezea kichapo cha mbwa koko, nimesahau jina la hao jamaa, huwa hatari sana na hutembea hata na mapanga.
 
We punguza porojo, hujui kitu kuhusu Zanzibar wala Muungano wa Tanzania.

Nenda bungeni Dodoma sasa hivi kama hutsjuta wabunge tokea Zanzibar.

FYI, Muungano wa Tanzanite ni very unique in the world, kuna wizara chache tu ambazo ziko ndani ya huo Muungano, wizara ya Afya sio mojawapo ndio maana mawaziri wake wanatangaza taarifa mbili tofauti hala8zinakua condolidated kama total ya Tanzania.

Katika upupu wako umezungumzia JWTZ, hio iko chini ya wizara ya Muungano amvayo kwa miaka mingi mpaka sasa waziri wake ni mwenyeji wa Zanzibar anaitwa Dr Mwinyi.

Nxt time kuwa makini sana unaozungumzia ishu sensitive kama ya Muungano wa Tanzania.
 
Hamna kitu kipya umeongeza wala hujanirekebisha popote, nina ufahamu mkubwa sana kuhusu muungano wenu maana nilikua Bongo kipindi hicho mlikua mnajadili katiba mpya na pia nimeishi visiwani na bara mpaka mikoani na kushuhudia utofauti baina ya hizo nchi mbili, huwa sijui niziite nchi au kitu gani.

Huo muungano yaani hakuna hata Mtanzana mmoja hivi ambaye anayeweza kueleza ulivyo, huwa mara moja moja napitia nyuzi zinazoujadili na humo wote huishia kubishana bila kuhitimisha chochote.

Hamna sehemu nimesema JWTZ ni ya Zanzibar, hao huwa wanajeshi mumemwaga huko kuchimba mikwarara kwa Wapemba, maana nakumbuka nilisoma sehemu enzi za sijui Mkapa, Wapemba walizingua wakashukiwa na JWTZ kwa fujo, hata Mkapa kiaina alitaja kwenye kitabu chake.

Wabunge wa Zanzibar waliopo Dodoma huwa hawa hawana usemi wowote, nakumbuka mlivyowanyamazisha kipindi cha sukari, mlipozuia sukari kutoka kwao.

Ukanda wote huu wa EAC na kati hakuna nchi hata moja ambayo unaweza kuniambia kitu, nafuatlia sana kila nchi.
 
Hapa umenipiga darasa ya kiaina mkuu!..
 
Hawa huwa vigumu kuwaelewa, na ndio mojawapo wa sababu walishindwa kupata katiba mpya, swali la serikali ziwe ngapi liliibua mjadala nchi yote mpaka wakapiga chini zoezi lote, nakumbuka Watanganyika walitaka wawe na serikali yao Tanganyika kama Wazenj walivyo na yao, kisha pawe na moja kuu itakayoitwa muungano.

Sasa hivi walivyo, kuna jamaa yangu Mbongo alinyimwa kabisa uraia wa Zanzibar, aliomba kitambulisho akanyimwa kwenye level ya shehia inayoongozwa na sheha mmoja mtata ambaye alimwambia bila kumficha kwamba hampi.
Kule ukiwa mgeni na una vibali vya kazi vya Bongo, lazima uombe upya Zenji, au ukiwa na vya Zenji lazima uombe upya vya Bongo.

Hata nauli kwa mgeni akitokea Bongo huwa tofauti.

Leseni ya udereva ya Mbongo haifanyi kazi Zenji, lazima alipie kibali fulani huko la sivyo anakamatwa.

Zanziba wana
- Rais wao
- Polisi wao
- Bendera yao
- Wimbo wao wa taifa
- Baraza la mawaziri wao
- Bunge lao

Yaani vitu vingi tu wana vyao, unashindwa sasa kipi wanachangia na Wabongo, labda JWTZ ndio nilikua naona wanakatiza katiza kwa mikwara fulani hivi.

Siku hizi Wabongo wanakamatwa wakikutwa huko Zanzibar bila shughuli yoyote maalum, lazima atolee taarifa nyingi sana, yaani yupo kwa nani na anafanya nini na kwa muda gani.

Kuna genge fulani huwa limechanganyikana na mapolisi huzunguka usiku wakukute halafu huna huna majibu ya kueleweka, unachezea kichapo cha mbwa koko, nimesahau jina la hao jamaa, huwa hatari sana na hutembea hata na mapanga.
Polisi na jeshi ni wa muungano, unamdanganya mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho nishangaza ni kuwa kwani Zanzibar sio eneo la Tanzania?. Hii ni aibu kwa mkurupukaji Maghufuli. Baada ya kusisitiza yakuwa vyombo vya kupima vina hitilafu, Zanzibar wamempuuza na kuibuka na takwimu. Ama tuseme visiwani wako na vifaa tofauti na vile vya bara?.. Can we as well assume that Magu's command of authority does not apply to Zanzibar in totality?.
Zanzibar wameaasi. Afya kwanza muungano baadaye. 😎
 
Kama kuna mtanzania anaikimbia Corona na kukimbilia Kenya,basi fanyeni,mkiwakamata wapeni kesi ya uhalifu wa kivita,na sisi hukutukiwqakamata tunawapa kesi ya uhalifu wa kivita,baada ya Corona kuisha tunabadilishana wafungwa wetu,maana ykisoma mitandaoni sana na ukiingia mitaani unakutana na maisha ya tofauti,nahisi watu wengi wanaishi katika mitandao,huku mtaani ni vivuli vyao vinatembea,tuseme hivyo sasa.
Kwa kifupi bwana huiku Tanzania kuna watu wanaendelea na maisha kama kawaida,kawaida kabisa,wanaendelea tu kuchukua tahadhari,ila barakoa zimekua deal sana,kama vile tuongee biashara kidogo pembeni tupie hela.
 
Hawa huwa vigumu kuwaelewa, na ndio mojawapo wa sababu walishindwa kupata katiba mpya, swali la serikali ziwe ngapi liliibua mjadala nchi yote mpaka wakapiga chini zoezi lote, nakumbuka Watanganyika walitaka wawe na serikali yao Tanganyika kama Wazenj walivyo na yao, kisha pawe na moja kuu itakayoitwa muungano.

Sasa hivi walivyo, kuna jamaa yangu Mbongo alinyimwa kabisa uraia wa Zanzibar, aliomba kitambulisho akanyimwa kwenye level ya shehia inayoongozwa na sheha mmoja mtata ambaye alimwambia bila kumficha kwamba hampi.
Kule ukiwa mgeni na una vibali vya kazi vya Bongo, lazima uombe upya Zenji, au ukiwa na vya Zenji lazima uombe upya vya Bongo.

Hata nauli kwa mgeni akitokea Bongo huwa tofauti.

Leseni ya udereva ya Mbongo haifanyi kazi Zenji, lazima alipie kibali fulani huko la sivyo anakamatwa.

Zanziba wana
- Rais wao
- Polisi wao
- Bendera yao
- Wimbo wao wa taifa
- Baraza la mawaziri wao
- Bunge lao

Yaani vitu vingi tu wana vyao, unashindwa sasa kipi wanachangia na Wabongo, labda JWTZ ndio nilikua naona wanakatiza katiza kwa mikwara fulani hivi.

Siku hizi Wabongo wanakamatwa wakikutwa huko Zanzibar bila shughuli yoyote maalum, lazima atolee taarifa nyingi sana, yaani yupo kwa nani na anafanya nini na kwa muda gani.

Kuna genge fulani huwa limechanganyikana na mapolisi huzunguka usiku wakukute halafu huna huna majibu ya kueleweka, unachezea kichapo cha mbwa koko, nimesahau jina la hao jamaa, huwa hatari sana na hutembea hata na mapanga.
Jikite kwenye corona...haya mengine ni bora ukaachana nayo.
 
Hamna kitu kipya umeongeza wala hujanirekebisha popote, nina ufahamu mkubwa sana kuhusu muungano wenu maana nilikua Bongo kipindi hicho mlikua mnajadili katiba mpya na pia nimeishi visiwani na bara mpaka mikoani na kushuhudia utofauti baina ya hizo nchi mbili, huwa sijui niziite nchi au kitu gani.

Huo muungano yaani hakuna hata Mtanzana mmoja hivi ambaye anayeweza kueleza ulivyo, huwa mara moja moja napitia nyuzi zinazoujadili na humo wote huishia kubishana bila kuhitimisha chochote.

Hamna sehemu nimesema JWTZ ni ya Zanzibar, hao huwa wanajeshi mumemwaga huko kuchimba mikwarara kwa Wapemba, maana nakumbuka nilisoma sehemu enzi za sijui Mkapa, Wapemba walizingua wakashukiwa na JWTZ kwa fujo, hata Mkapa kiaina alitaja kwenye kitabu chake.

Wabunge wa Zanzibar waliopo Dodoma huwa hawa hawana usemi wowote, nakumbuka mlivyowanyamazisha kipindi cha sukari, mlipozuia sukari kutoka kwao.

Ukanda wote huu wa EAC na kati hakuna nchi hata moja ambayo unaweza kuniambia kitu, nafuatlia sana kila nchi.
Kama utasikiliza hotuba za Nyerere kuhusu muundo wa muungano ndio utaweza kuelewa vizuri,
1)Muundo wa Muungano ni wa kipekee hapa duniani, ulitengenezwa ili kukidhi mahitaji ya nchi mbili tofauti, moja ni nchi kubwa sana, na nyengine ni ndogo sana.
2)Kuna baadhi ya wizara ni za Muungano na zingine sio za Muungano, wabunge wa Zanzibar Dodoma, hawaruhusiwi kuchangia mambo ambayo sio ya Muungano, kama wizara ya viwanda na biashara.
3)Kutokana na udogo wa visiwa vya Zanzibar, watanzania bars hawaruhusiwi kumiliki ardhi wala kupata vitambulisho vya makazi Zanzibar, ila wazanzibar wanaruhusiwa huku bara kupata yote hayo.

Kuna mambo mengi yaliamuliwa namna hiyo ili kuilinda Zanzibar isimezwe na bara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa huwa vigumu kuwaelewa, na ndio mojawapo wa sababu walishindwa kupata katiba mpya, swali la serikali ziwe ngapi liliibua mjadala nchi yote mpaka wakapiga chini zoezi lote, nakumbuka Watanganyika walitaka wawe na serikali yao Tanganyika kama Wazenj walivyo na yao, kisha pawe na moja kuu itakayoitwa muungano.

Sasa hivi walivyo, kuna jamaa yangu Mbongo alinyimwa kabisa uraia wa Zanzibar, aliomba kitambulisho akanyimwa kwenye level ya shehia inayoongozwa na sheha mmoja mtata ambaye alimwambia bila kumficha kwamba hampi.
Kule ukiwa mgeni na una vibali vya kazi vya Bongo, lazima uombe upya Zenji, au ukiwa na vya Zenji lazima uombe upya vya Bongo.

Hata nauli kwa mgeni akitokea Bongo huwa tofauti.

Leseni ya udereva ya Mbongo haifanyi kazi Zenji, lazima alipie kibali fulani huko la sivyo anakamatwa.

Zanziba wana
- Rais wao
- Polisi wao
- Bendera yao
- Wimbo wao wa taifa
- Baraza la mawaziri wao
- Bunge lao

Yaani vitu vingi tu wana vyao, unashindwa sasa kipi wanachangia na Wabongo, labda JWTZ ndio nilikua naona wanakatiza katiza kwa mikwara fulani hivi.

Siku hizi Wabongo wanakamatwa wakikutwa huko Zanzibar bila shughuli yoyote maalum, lazima atolee taarifa nyingi sana, yaani yupo kwa nani na anafanya nini na kwa muda gani.

Kuna genge fulani huwa limechanganyikana na mapolisi huzunguka usiku wakukute halafu huna huna majibu ya kueleweka, unachezea kichapo cha mbwa koko, nimesahau jina la hao jamaa, huwa hatari sana na hutembea hata na mapanga.
Sikujua haya
 
Back
Top Bottom