Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nimeipenda sana , naomba watanzania tuige , watanzania wanaokaa nje ya Nchi nao wapewe Ruksa ya kupiga kula kwenye mabalozi yao kuwachagua viongozi kwenye Nchi yao. haya ni maendeleo kwa wakenya.
Hii ni East Africa peke yake...wliopo nje ya hapo hawana kupiga kura wala nini!
navyojua me mabalozi wa Bongo nchi za nje ni kama makatibu waenezi wa ccm............ sasa kama wao ndo watakuwa wasimazi wa kupiga/kuhesabu kura sijui tutegemee nini??
ila mfumo ukikaa vizuri italeta haki kwa wote....................
tanzania kichwa cha mwendawazimu, yani kila kitu tunataka wenzetu waanzishe halafu sisi tuige, sera ya majimbo tunasema itatugawa eti mbona kenya na uganda hawana hiyo system ko tunawasubiri wakenya waanzishe. Si ajabu kusikia mapoyoyo wanaandamana kwenda ubalozi wa UK kisa mzungu kamwambia ukweli bosi wao kuwa ni jambazi, wanataka kumlamba miguu jkHii nimeipenda sana , naomba watanzania tuige ,