Wakenya wanapukutika kwa Corona jamani

Poleni majirani napenda muwepo tuendelee kutaniana ila kwa hilo janga nawahurumia mk254 si ajabu kajifungia yuko lockdown hata kucoment anaogopa
 
Ila usikute tunamsema tu rais wao hapa siasa. Oh mlafi kumbe kweli corona ipo.

Hali ya hewa ya baridi mda wote ndo tatizo nahisi

Poleni wakenya, litapita.
Mombasa, Kisumu kuna baridi kuliko kuliko Zanzibar, Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…