Wakenya wanatuona Watanzania kama mazuzu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Baada ya serikali kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia Tanzania kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chadema Tundu Lissu, Wakenya wamekosoa tu
Wanasema

1. Tanzania tunajivunia mahindi
2. Watanganyika ni marehemu na Kamwe hawataamka kudai haki zao
3. Watanzania hatujui Kizungu kama wao
4. Tupo tunatawaliwa kikoloni tu
5. Watanzania tunajifia Kwa kukosa maarifa
 
6. Mifumo yetu rahisi kuingilika
7.Nimesikia redio moja inasema kwamba account ya tanpol password wameweka zuchu 😂
 
Wewe unawaonaje?
 

Kina jingalao, njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah hawatoshi kuwawakilisha wote mkuu.

Huko kutakuwa kutowatendea haki waungwana wengi tu tena wenye akili zao.
 
N sisi 2nawaona wao kama ndezi!!
 

Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao​

 
Senior kenyatta alisema Nyerere anaongoza Maiti
 
Waache waseme wakichoka watalala. Uongo wa mwenye nyumba si ukweli wa mpita njia
 
Wako sahihi kabisa hasa matanganyika ndo mazuzu kabisa kwa kuendelea kutawaliwa na mkoloni kutoka zenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…