Rejea attachment mbili hapo chini. Mmoja inaonyesha video ya mfanyakazi wa Unilever Tea Tanzania( mufindi) akizuiliwa kuingia ofisini. Attachment ya pili inaelezea mkasa mzima.
My Take: Kumekua na unyanyasaji wa Wakenya dhidi ya wa Tanzania kwa muda mrefu sana. Tangu management ya kampuni ikabidhiwe kwa Wakenya, Watanzania wengi wa top management na middle management wameundiwa mizengwe kibao ambayo imesababisha kuacha kazi.
Swali: Inakuaje Wakenya wanakua na mamlaka makubwa kiasi cha kufukuza wafanyakazi na kuweka Wakenya wenzao na machawa? Je, hatua gani zifanyike kuzuia hii tabia ya wageni kuja na kufanya wanalo taka?
Ambae amaewahi kufanya kazi pale atiririke atupe uzoefu wake kuhusu mazingira ya kazi pale.
Hiyo ni nguvu ya pesa(hata serikali yako inajua na hakuna kitu yenye itafanya)....'Mwenye nguvu mpishe"
Tulishindwa kuendesha hiyo kampuni tukatafuta wa kutuendeshea na hizo ni taratibu za mwekezaji za kiuendeshaji, ukishindwana nazo unasepa.
#Mamaanafunguanchi#