Duh!!hii advert dada yetu mdogo ilkua ywaipenda sana..Hii kwa maoni yangu ndio the best advertisement ya Safaricom na pia the best Kenyan advert.
Halafu leo ndio nimeona jinsi hio advert ilitengenezwa. Safaricom ilitumia pesa nyingi sana kuitengeneza. 800 cast members, 2 helicopters and 7 provinces.
Ushirikiano wa wakenya upo kwenye matangazo ila in reality hawapendani hatari kama wachawi
Kalikua kanaijua sana lkn sai amekua Mash AllahHahaha. Wimbo wenyewe unavutia sana.
Endelea kukariri hizo propaganda zenu za enzi za ujamaa. Sasa hivi hamna tena 'moral authority' ya kuzungumza na wakenya kuhusu huo 'upendo' au hata uzalendo. Hivi majuzi walipokuwa wanazindua ripoti ya BBI pale Bomas of Kenya, Nairobi. Niliona wakenya na viongozi wao kutoka mirengo yote, chama tawala, upinzani ndani na nje ya serikali, waumini wa dini zote na wadau kutoka kwenye sekta tofauti, wakiwa wameketi pamoja kusikiza hoja na kujadili masuala nyeti yanayohusu taifa lao. Hata kama siungi mkono mswada huo na mbinu wanazotumia kufikia azimio la BBI(Building Bridges Initiative), wazo ambalo nalikubali. Ila inapendeza kuona kwamba uhasama wa kisiasa sio kikwazo kwetu sisi wakenya ikifika kwenye masuala yenye umuhimu mkubwa kwa taifa letu.Ushirikiano wa wakenya upo kwenye matangazo ila in reality hawapendani hatari kama wachawi