Wakenya waomba kufunguliwa kwa mpaka na Tanzania ili kuepukana na njaa

Hii ndio tunasema viongozi usiangalie tu ww pale ulipo angalia na wananchi wa chini kqbisa
 
Tangu mipaka ifungwe ni wakenya ndio wanaongoza kwa kulalamika ovyo,

Nakumbuka mwanzoni kabisa kuna masoko ya kenya yalikosa bidhaa baada ya magari kuzuiwa mipakani,

Hapo tena tunaona wananchi wamekosa vyakula baada ya mpaka kufungwa,

Halafu ukiwaambia kuwa Tanzania inalisha Kenya wanabisha huku wakitumia data zisizoendana na hali halisi,

Sijaona Watanzania wakilalamika kwa sababu mipaka imefungwa,

Corona imekuja kutuonesha rasmi nani ni nani hapa EA.
 
Lockdown inawatafuna.Msione aibu kuomba msaada,huku kwetu ipo mpaka mitambo ya kupiga Nyungu,mkihitaji semeni tutawauzia kwa bei poa...
 
Tangu mipaka ifungwe ni wakenya ndio wanaongoza kwa kulalamika ovyo,

Nakumbuka mwanzoni kabisa kuna masoko ya kenya yalikosa bidhaa baada ya magari kuzuiwa mipakani,

Hapo tena tunaona wananchi wamekosa vyakula baada ya mpaka kufungwa,

Halafu ukiwaambia kuwa Tanzania inalisha Kenya wanabisha huku wakitumia data zisizoendana na hali halisi,

Sijaona Watanzania wakilalamika kwa sababu mipaka imefungwa,

Corona imekuja kutuonesha rasmi nani ni nani hapa EA.
Aise, hivi mipaka imefungawa?sisikii huku mtz akilalamika,yaani, nilikuwa sijui.!,
 
Weye joto la jiwe huwa sizisomi bandiko zako humu,huwa unaushabiki wa kitoto,ingependeza kama ungelikua mara nyingi na facts na bandiko za kuaminika za kweli ungekua na heshima humu mkuu.
Ushapoteza ushawishi zamani tu.
 
joto la jiwe hutumia akili sana, yeye ndiye aliye kuwa wa kwanza kuweka bayana maamuzi ya kijinga ya kenya kuhusu lockdown, curfew na mengine mengi. Wengi humu hadi mimi mwenyewe sikuelewa uzi wake huu: Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona
Akili zangu zilielewa baada ya miezi miwili!! utakuja kumuelewa tu
 
Back
Top Bottom