joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wagonjwa toka Kenya wamekuwa wakipiga simu Tanzania ili kuruhusiwa kuja kupata matibabu bingwa katika Hospitali ya Mloganzila ambayo kwa sasa ndiyo Hospitali bora kuliko zote katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, kati na kusini mwa Afrika.
Karibuni sana majirani
Sent using Jamii Forums mobile app