joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Apr 2, 2020 #1 Wagonjwa toka Kenya wamekuwa wakipiga simu Tanzania ili kuruhusiwa kuja kupata matibabu bingwa katika Hospitali ya Mloganzila ambayo kwa sasa ndiyo Hospitali bora kuliko zote katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, kati na kusini mwa Afrika. Karibuni sana majirani Sent using Jamii Forums mobile app
Wagonjwa toka Kenya wamekuwa wakipiga simu Tanzania ili kuruhusiwa kuja kupata matibabu bingwa katika Hospitali ya Mloganzila ambayo kwa sasa ndiyo Hospitali bora kuliko zote katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, kati na kusini mwa Afrika. Karibuni sana majirani Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Apr 2, 2020 #2 Wapo tayari kukaa siku 14 karantini?
joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Apr 2, 2020 Thread starter #3 Saint Ivuga said: Wapo tayari kukaa siku 14 karantini? Click to expand... Wanasema hawapaswi kuwekwa karantini kwasababu kwao wanafanya "mass testing"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Ivuga said: Wapo tayari kukaa siku 14 karantini? Click to expand... Wanasema hawapaswi kuwekwa karantini kwasababu kwao wanafanya "mass testing"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Geza Ulole JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 65,136 Reaction score 91,917 Apr 2, 2020 #4 joto la jiwe said: Wanasema hawapaswi kuwekwa karantini kwasababu kwao wanafanya "mass testing"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... #Akilizahandshake# CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
joto la jiwe said: Wanasema hawapaswi kuwekwa karantini kwasababu kwao wanafanya "mass testing"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... #Akilizahandshake# CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala