Wakenya washangazwa na lafudhi ya kiingereza cha Diamond

Makarai tupo hapa ufipa tunasuburi kususa. Mbona umechelewa kutokea? Tunakungoja tuungane tuanze kuzungusha mikono.
Sawa subiri hapo hapo kuna makarai menzako kutoka huku Dodoma nayaleta na Fuso tutaingia usiku hapo Dar hivyo maandamano ni kesho.
 
ukiona unasifiwa na wazee wa flying Toilet. jianagalie sana
 
Kinga ama kweli jamaa anasumbua watu ngoma ya mond ameiachia lakini anatajwa kiba tena ktk mazungumzo ya ngoma hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…