Wakenya washangazwa na lafudhi ya kiingereza cha Diamond

Jamaa hana vocabulary za maana anaongea kama mtoto wa kithungu
 
Ila anajitahidi sana kwa sasa nadhani wcb wote wanamwaga ngeli. Hela na exposure lazim uongee ki british tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…