Wakenya Wasusia Uchaguzi/ Kenyans Boycott Elections

Amalemba & Namulungu polling stations in Kakamega


A very large voter turnout . Makueni.



Marsabit county



Emuhaya Kakamega, IEBC staff have retreated to basking in the sun



 
Hatari hii. Jueni tu kuwa Amani ni thwabu hivyo msipoteze
 
Mbona sehemu zingine huonyeshi? Naangalia hapa K24 na Citizen live.Kuwa mkweli mkuu,nimeshangaa sehemu kama Migori nilitegemea kabisa kusiwe na wanaopiga kura,but nimeona watu wanapiga kura kupitia K24.
 
Hii si dalili njema kama ni hivyo,tension itakuwa kubwa mno,ni kama Nchi itasimama kwa muda.Naangalia hapa K24 Live.Tuwaombee hawa majirani zetu
Tujuze nini kinaendelea mubashara...wengine tupo Tandahimba huku hakuna umeme wala network
 
Huko hakuna maruhani? Huku huwa kuna kura za maruhani
 
Nafikiri wafuasi wa Raila wengi wamesusia, hivyo wanaopiga wengi ni wa Uhuru,kwa hiyo tutegemee Uhuru afanye vizuri zaidi ya mara ya kwanza.
Ili Uhuru ashinde, anahitaji atleast 50% ya watu wote waliojiandikisha....akipata chini ya hapo uchaguzi unarudiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…