Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Mara oooh In Kenya we are more than 90% Economicaly independent.
Kumbe hata ile safari ya China ilikuwa ya kutembeza bakuli.
Kumbe hata ile safari ya China ilikuwa ya kutembeza bakuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hata ww naona mwili tu kicha hunaMtoa mada na wachangiaji kama vichwa vyao vimetenganishwa na wiwiliwili.
Nyinyi wenyewe ni mashahidi.
Siku zote wanaofaulu kibiashara ni wale wanaokopa na kuitumia vizuri mikopo.Mara oooh In Kenya were more than 90% Economicaly independent.
Kumbe hata ile safari ya China ilikuwa ya kutembeza bakuli.View attachment 882957
Taabu atakayokuwa nayo ni ya kusakamwa alipe la sivyo nchi itawaliwe nao.Hmm!... Uhuru Kenyatta anataka akiondoka madarakani asmpe taabu Rais ajaye...
Siku zote wanaofaulu kibiashara ni wale wanaokopa na kuitumia vizuri mikopo.
Wewe endelea kusadiki kuwa tumewazidi kiuchumi lakini bado utabaki chini yao.
Suala la kenya kuipita tz kiuchumi & kielimu TZ ni la kusadikika, ila kwa kuwa tumejijengea dhana ya kuwa vyetu ni duni na dhaifu bhac tuendelee tuu kufikiria hivyo. Mwisho wa siku mTZ akitoboa utasikia amecheza dili au amepiga pesa.Mara oooh In Kenya were more than 90% Economicaly independent.
Kumbe hata ile safari ya China ilikuwa ya kutembeza bakuli.View attachment 882957
Kwa riba za Kichina tutaona yale ya Keneth Kaunda International airpotSiku zote wanaofaulu kibiashara ni wale wanaokopa na kuitumia vizuri mikopo.
Wewe endelea kusadiki kuwa tumewazidi kiuchumi lakini bado utabaki chini yao.
Ni kweli mkuuKukopa ni suala moja na kutumia vizuri mkopo ni jambo tofauti.
Kwa hiyo wewe unajifananisha na USA..there's no problem with taking loans...shida kubwa ni kukopa bila mpango na kutumia mikopo vibaya...hakuna nchi iliowahi kuendelea bila kuchukua mikopo...hata zile nchi zilizoendelea zina mikopo kubwa kubwa...mfano USA ina mkopo mkubwa iliochukua toka China...
nani amejifananisha na USA we ng'ombe😳? huo ni mfano kuwa hakuna nchi iliowahi kuendelea bila mikopo...tumia akili🙄nugu hiiKwa hiyo wewe unajifananisha na USA..
Kumbe wakenya ni wapumbavu hivi???
Ila mikopo bila mipango ni chanzo cha biashara au nchi kufilisika, kama ilivyo kwa Srilanka, Zambia na Kenya, hizi nchi zimekopa bila mipango mizuri zinashindwa kurudisha pesa za mikopo.nani amejifananisha na USA we ng'ombe😳? huo ni mfano kuwa hakuna nchi iliowahi kuendelea bila mikopo...tumia akili🙄nugu hii