Wakenya watakuja kutoa povu

Hmm!... Uhuru Kenyatta anataka akiondoka madarakani asmpe taabu Rais ajaye...
 
SGR ya kenya Ni wachina walijenga kwa msaada au mkopo WA china
 
Mtoa mada na wachangiaji kama vichwa vyao vimetenganishwa na wiwiliwili.
Nyinyi wenyewe ni mashahidi.
 
Kukopa ni suala moja na kutumia vizuri mkopo ni jambo tofauti.
Siku zote wanaofaulu kibiashara ni wale wanaokopa na kuitumia vizuri mikopo.
Wewe endelea kusadiki kuwa tumewazidi kiuchumi lakini bado utabaki chini yao.
 
Reactions: Oii
Ahaaa haaa haaa
muda si mrefu NCHI itaanza kuchuuzwa.
inabidi hekima itumike.
 
Mara oooh In Kenya were more than 90% Economicaly independent.
Kumbe hata ile safari ya China ilikuwa ya kutembeza bakuli.View attachment 882957
Suala la kenya kuipita tz kiuchumi & kielimu TZ ni la kusadikika, ila kwa kuwa tumejijengea dhana ya kuwa vyetu ni duni na dhaifu bhac tuendelee tuu kufikiria hivyo. Mwisho wa siku mTZ akitoboa utasikia amecheza dili au amepiga pesa.
 
Siku zote wanaofaulu kibiashara ni wale wanaokopa na kuitumia vizuri mikopo.
Wewe endelea kusadiki kuwa tumewazidi kiuchumi lakini bado utabaki chini yao.
Kwa riba za Kichina tutaona yale ya Keneth Kaunda International airpot
 
there's no problem with taking loans...shida kubwa ni kukopa bila mpango na kutumia mikopo vibaya...hakuna nchi iliowahi kuendelea bila kuchukua mikopo...hata zile nchi zilizoendelea zina mikopo kubwa kubwa...mfano USA ina mkopo mkubwa iliochukua toka China...
 
Kwa hiyo wewe unajifananisha na USA..
Kumbe wakenya ni wapumbavu hivi???
 
Kwa hiyo wewe unajifananisha na USA..
Kumbe wakenya ni wapumbavu hivi???
nani amejifananisha na USA we ng'ombe😳? huo ni mfano kuwa hakuna nchi iliowahi kuendelea bila mikopo...tumia akiliπŸ™„nugu hii
 
nani amejifananisha na USA we ng'ombe😳? huo ni mfano kuwa hakuna nchi iliowahi kuendelea bila mikopo...tumia akiliπŸ™„nugu hii
Ila mikopo bila mipango ni chanzo cha biashara au nchi kufilisika, kama ilivyo kwa Srilanka, Zambia na Kenya, hizi nchi zimekopa bila mipango mizuri zinashindwa kurudisha pesa za mikopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…