Wakenya watamani Uhuru afuate nyayo za Magufuli

Sasa mbona hiyo katiba haiwasaidii chochote [emoji23][emoji23][emoji23] katiba yenu haina tofauti na huo uchumi wenu wa kwenye makaratasi.
 
Hivi hiyo katiba mliyonayo ambayo iliwagharimu billions of money imewasaidia nini kukabiliana na ufisadi? Haina hata miaka 20 mnaibadili tena, yaani yote hii ni mazingira ya kupigwa pesa, hakuna loopholes za Kupiga pesa serekalini kama kwenye mambo ya uchaguzi na upumbavu kama huu mnaotaka tena kufanya kwenye katiba

Eti free free freedom, wakati njaa zinawauwa
 
JPM umlinganishe na Moi? Haupo seriously
 
Huo ni mradi wa kuendelea kuwapiga pesa wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwa tulioishi kwenye nchi hii kipindi ilikua ya kama yenu ilivyo leo hii tunaelewa sana umuhmuwa katiba nzuri, yaani hamna kitu hunipa raha kama kuwa na katiba. Pengo la uchumi baina yetu na nyie linazidi kuongezeka na tukiendelea hivi itakua mara mbili yenu.
 
Huo ni mradi wa kuendelea kuwapiga pesa wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅 Hakuna taifa Africa hii linapigwa kama Kenya, wanajifanya wasomi lakini ni zero brains, wanajifanya aggressive lakini ni mabogaz tu, ufisadi wanaofanyiwa na wanasiasa wao haujawahi tokea Tanzania

Lakini wenyewe wapo tu, yaani uhuru wanaotaka ni ule wa kubweka tu kama mbwa kwamba fulani ni fisadi fulani kaiba kiasi flani, wasipokamatwa wala kuhojiwa na vyombo vya dola juu ya hizo shutma ndio wanaoana wana freedom of expression, lakini pamoja na kubweka kote huko hao mafisadi hayapelekwi mahakamani wala kuwajibishwa kwa lolote tena ndio wanazidi kuiba, sasa huo uhuru una faida gani?
 
Nairobi mpaka saivi ina uhaba mkubwa wa maji, zaidi ya 69% ya Nairobi haina access ya safe and clean water, hiyo ni Nairobi sijasema huko wajir, turkana, kilifi, lamu, masabit ambapo hata barabara ya vumbi hakuna. Huko maji ya bomba ni luxury
 
Uhuru wa kwenye makaratasi kama tu ilivyo uchumi wao wa kwenye makaratasi [emoji23][emoji23][emoji23]
 




 
Kenya ipi hyo
80% ya wakenya wanatamani Magufuli awe rais wa wakenya, wamechoka na rushwa, wanechoshwa na serikali yao kukosa nguvu za kuwadhibiti wanasiasa. Miaka mitatu kabla ya uchaguzi, ukifika Kenya utadhani uchaguzi ni wiki ijayo.
 
Ukileta na mm nitakuletea wanaomponda jiwe na kumsifu maguli...

Ama kitu rahisi ipeleke kule kw majukwaa yenu tuone marejesho
 
Watu hko kwao wanalazimishwa wakubali kesi ndio walipe faini
 
Watu hko kwao wanalazimishwa wakubali kesi ndio walipe faini
Kenya mkifika hiyo hatua itakua mwisho wa dunia, Tanzania imeweza kuwafunga mafisadi papa yaliyoiba billions bila kuwaogopa, lengo la kuwafunga ni ili walipe pesa za wananchi kwa wale watakaokiri kosa na kuzitoa pesa zetu wafanye hivyo sababu hilo ndio lengo

Kuna mafisadi tumeyafunga lakini huko Kenya yalishawafilisi kwa ufisadi na hakuna lolote mliwafanya kwa mfano kwa mujibu wa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kampuni Iliyokuwa ikimilikiwa na Sethi Singh Ruaha Concrete Co Ltd mwaka 1995 ilipewa tenda ya kujenga barabara kwa malipo ya million 197ksh lakini kampuni hiyo ilijenga barabara hiyo chini ya kiwango na kampuni hiyo ilipandisha gharama ya ujenzi huo kufikia milioni 510kshs. Mkaguzi huyo wa serikali alishauri kampuni hiyo ya Sethi Sing ipigwe marufuuku na isipewe tenda yeyote na serikali.

Kampuni nyingine ya Seth Sing iitwayo Pan Africa Builders iliingia mktaba na NSSF wa kujenga nyumba za kuishi kwa gharama ya bilioni 2kshs lakini kampuni hiyo haikuweza kutimiza mktaba wa ujenzi huo kama ulivyotakiwa na Seth Sing alikimbilia mahakamani na kudai fidia ya sh milioni 668ksh lakini mahakama iliamuru alipwe milioni 590khs. Kampuni hiyo ya Seth Sing iligundulika ilikwepa kulipa kodi sh milioni 260ksh kwa KRA hapo ndipo kamati ya bunge ya fedha iliipiga marufuku kampuni ya Seth Sing kufanya shughuli zozote za ujenzi Kenya.

Sasa huyu Seth tunae na atazitoa pesa zetu zote alizoiba sababu Tanzania sio Kenya.
 
Nairobi mpaka saivi ina uhaba mkubwa wa maji, zaidi ya 69% ya Nairobi haina access ya safe and clean water, hiyo ni Nairobi sijasema huko wajir, turkana, kilifi, lamu, masabit ambapo hata barabara ya vumbi hakuna. Huko maji ya bomba ni luxury
Ni kweli huko ni lami tupu
 
Ni kweli huko ni lami tupu
Lami itoke wapi wakati wakipata majanga mnatumia helkopta kuwafikia sababu hakuna usafiri wa gari wa haraka sababu ya ubovu wa miundombinu, yaani ni kama wapo kisiwani.

Tanzania hakuna Mkoa usio na lami hata mmoja na ndio maana usafiri wa mabasi Tanzania upo vizuri sana na ni sector active sana kwenye uchumi wa nchi ndio maana serikali inawekeza kwenye regional bus terminals nchi nzima ili kuboresha zaidi sector hiyo.

Standard ya usafiri wa mabus Tanzania itawachukua Kenya miaka 50+ kufika hapa tulipo Leo.
 
Insha ya nn sasa..wakati mnatumia ubabe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…