Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Mkenya Hellen Obiri ameshinda mbio za masafa marefu za Boston Marathon baada ya kuandikisha muda wa 2:21:38.
Bingwa huyo wa olimpiki katika mbio za mita 5000 alishiriki marathon kwa mara kwanza mwaka uliopita jijini New York na kushika nafasi ya sita.
Kwa upande wa wanaume, Evans Chebet ameteta taji lake la mbio hizo za Boston kwa kuandikisha muda wa 2:05:54 huku Gabriel Gaey kutoka Tanzania akimaliza wa pili kwa kutumia saa 2:06:04
Washindi watapenda kitita cha pesa kama ifuatavyo pesa za Kenya:
1. 20,157,000
2. 10,078,500
3. 5,375,200
4. 3,359,500
5. 2,418,450