Wakenya watifuana na 'Wazungu' kuhusu umiliki wa Msemo "HAKUNA MATATA"


where have i said tuabudu wazungu?? you fuckers cannot stand a Kenyan with ambition.. if Kenyan lawyers are fighting over rights of some swahili world, how is that "kuabudu wazungu."?

and by the way, pia sisi hapa kenya huwa tunaongea Kiswahili, ni vile tu hata Kizungu tunashika vizuri pia
Lugha zote mbili ni compulsory kutoka shule ya msingi hadi sekondari.

Ukija hapa mtaani wakenya huongea kiswahili, lakini Kizungu huwa tunatumia ikifika wakati wa mambo ya masomo na ofisi.

Nimegundua kwamba Wa-TZ wanakerwa na jambo hili sana. Mkenya akiendelea mnaanza chuki, mtu mweusi hataki kuona mwingine akiendelea au kutamba.

GO HUG A CACTUS FUCKER, I HAVE NO APOLOGIES FOR YOU INSECURITIES AND LOW SELF ESTEEM NIGGER.
 

Hili nalo ni la kubeza Wakenya, ndio maana mnaibiwa kila kitu raslimali zote lakini mnaendelea kuwa maskini wa kutupwa.
 
Nyambaff!!! kumbe kiswahili unaweza unajibaraguza kuandika lugha ya kikoloni kwenye mada ambao tunaojadili huku ni waswahili watupu ukiwemo wewe ngombe!!! mimi sijakasirishwa na kitendo chenu cha kudai neno lenu, ndio maana hakuna Mtanzania yoyote anayesema hilo neno lina asili ya Kitanzania ijapokuwa ni la kiswahili na tumelirithi kutoka kwenu. Kilichonisikitisha ni hapo unaanza kumwaga luga ya hao hao waporaji hapa wakati ukijua sisi bongo tunawachukia sana hao na lugha yao. Mimi nimewapongeza na nikasema mkihiitaji hata sisi tujitolee kuwaunga mkono kama mashahidi ya kwamba neno ni la kwenu tupo tayari , ndio maana nimekuambia achaneni na kesi za kutafuta sifa kama huyo mwanasheria aliyechanganyikiwa aliyetaka kuwashitaki wayahudi kwa kumuua Yesu. Hii ndio kesi ijapokuwa mwisho wa siku itapigwa P.O kwa kukosa Course of action kwa sababu ninyi wenyewe mlikuwa hamjawahi kuusajili msemo huo, na sii mara ya kwanza hao wajomba zenu mnaojifanyaga mko karibu nao kwenye mashirika yasiokuwa ya kiserikali kutusengenya na kutuchoma kwao kusajili msemo huo, waliwahi kuusajili mkawa kimya leo mnaibuka hivi utadhani mtawashinda?
 
Hili nalo ni la kubeza Wakenya, ndio maana mnaibiwa kila kitu raslimali zote lakini mnaendelea kuwa maskini wa kutupwa.
Ninyi ndio mlioibiwa ardhi, na hao sis wajanja na kwenye madini tunawatoa baruti wote, ninyi sasa hivi si mnafanya vibarua kwenye mashamba yenu wenyewe mlionyanganywa na hao karumekenge? tena mewapa ardhi kwa freehold hapa bongo hakuna kitu cha namana hiyo, haibiwi mtu hapa
 
hakuna matata baada ya wazungu kujua kwa lugha yao dont worry .unajua kama konki ilipo tokea kwenye marinda ndo hapo umaruufu ukuvuma kila kona
 

Sasa tumeanza kuzungumza kama Waafrika, Kuna wakenya ambao wanatafuta sifa tu lakini ukija hapa utapata wakenya wengine wanawachukulia kama watu wa mchezo pia.
Wakenya wanaopigania neno hilo hawapiganii ili walisajiri wenyewe, wanataka neno hilo liwe huru kutumika na kila mtu.
Ni jambo la kushangaza kwamba neno kama "kiondo" jina la kikuyu limesajiriwa huko Japan.Sasa hatuwezi kulitumia kwenye bidhaa ambazo tunaunda hapa. Ni jambo ambalo linakera wakenya wengi hapa.
Sasa neno kama "hakuna matata" likisajiriwa itakuwa tricky kulitumia kwenye commercial promotions, ilhali ni jina la kiswahili tu na lugha yetu hapa Afrika mashariki
 
Wa-Tanzania wenzangu twendeni tukasajili harka huu msemo Hakuna quarrel kabla haujaibiwa
 
Hatimiliki inawahusu waanzilishi wa kitu.
Waanzilishi ni Wakenya.
ni ujinga na upumbavu wa waswahili sisi... ni kama basata inavyo sisitiza wasanii wajipatie usajili wa hati miliki wa kazi zao lakini wana chukulia poa... mwisho wa siku wakikutwa na gharika tuna anza lialia... wazungu wapo kibiashara na wakikukuta zuzu lazima wakupige kisawasawa.. na waafrika tumepigwa...

hivi tuna hati miliki na kiswahili? au ndio tuna gombea na wakenya kiswahili chetu Mara na wao wasema chao...

tingatinga ya msanii john kilaka... hatushangai kuibiwa maana sisi tuna zembea sana... kila kitu tuna chukulia poa ujamaa uta tubakisha masikini... na wazungu wataendelea kutufanya wakina chief mangungo....
 
Kwahiyo neno HAKUNA siyo kiswahili na neno MATATA siyo kiswahili neno matata lilikuwa linatumika Tanzania kabla ya miaka ya 1960 na kwenye kutangaza soka toka zamani soma hata jarida la sani kwenye Mpira wa bush star na born town
Au mipira iliyo tangazwa zamani miaka ya nyerere akiwa raisi utasikia neno MSHAMBULIAJI MATATA WA TIMU YA YANGA AU SIMBA
 
Ninachozungumzia ni muunganiko wa maneno mawili kutumika pamoja na kuleta maana fulani.HAKUNA MATATA wakenya wanalitumia siku nyingi kwa pamoja wakimaanisha mambo ni safi. Kila nchi ina asili yake ya kuyatumia maneno ya kiswahili mfano. Mtanzania akimpa mtu zawadi atasema "Nimempa zawadi" ila mkenya atasema "Nimepeana zawadi" yote ni maneno ya kiswahili na yanatumika kwa moja moja kila sehemu kotekote lakini kwenye muunganiko inategemea na mazoea ya sehemu husika. Mtanzania hawezi kusema "nimepeana yeye" ila atasema "nimempa yeye" kadhalika hawezi kusema "HAKUNA MATATA" atasema hakuna shida, hakuna tabu, mambo poa nk. Hiyo ni kutokana na tamaduni za mazoea ya matumizi ya lugha.
 
Ufafanuzi mujarabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…