Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Ndugu zangu, nilipata kuhudhuria kongamano pale Nkuruma Hall, Mlimani, msemaji alikuwa Hayati Mwl J. K. Nyerere. Alizungumzia mada ya economic osmosis. Msisitizo ulikuwa kuona jinsi ilivyo haikwepeki kwa nchi jirani kuwa na mashirikiano katika nyanja ya uchumi. WaTz kama tumeshindwa kupata fursa ya kuwa wasambazaji wakuu wa chakula kwa nchi zinazotuzunguka tunapaswa kuona aibu! 80% ya nguvukazi ni wakulima halafu na sisi tunapanga foleni Zambia kutafuta chakula!
 
nasikia Kenya mnaongoza kwa unemployment duniani, hongereni
nami pia niliskia tz mnaongoza kwa kuwachinja albino na kuuza viungo vyao vya mwili kwa wachawi na waganga...duh! hongereni jameni
 
Nani kakudanganya hatuna mahindi? Mahindi yapo tena kwa wingi,unga ndio umefichwa
Na viwavi vilivyoshambulia mashamba mtahangaika sana na mahindi msilete kejeli yakiisha Zambia mahindi mtarudi bongo
 
Hiyo Habari ni ya 2011 uwe unafanya utafiti japo wa kufungua cover la Kitabu
 
Ukoloni wa kijinga sana huo. Kiingereza ni nini? Uchina, Ujerumani, Urusi, Amerika kusini wanaongea kiingereza? Kiingereza kinawasaidia nini mnabaguana kwa ukabila kila siku?
Ungeomba tafsiri kimya kimya tu ww mswahili, ama vipi upate kozi yako ya english fresh apo dar kwa ras simba, na ww uteme yai humu kama wakenya[emoji3] [emoji109]
 
Ungeomba tafsiri kimya kimya tu ww mswahili, ama vipi upate kozi yako ya english fresh apo dar kwa ras simba, na ww uteme yai humu kama wakenya[emoji3] [emoji109]
😀😀😀😀😀
 
Nani kakudanganya hatuna mahindi? Mahindi yapo tena kwa wingi,unga ndio umefichwa
Hahahaha hamna hata pumba achilia mbali mahindi, mnayo mahindi alafu muagize mahindi nje ya nchi kila kona hahaha
 
tuone sasa kama king'eng'e na mahindi nini zaidi. sisi tutakula na kushiba, nyie gharama ya mulo itapaa kama pipa la boing
 
Hahahaha huoni marekan inaagiza nagari kutoka ujerumani hiyo haimaanishi marekani hakuna viwanda vya nagari hizo ni mambo za business exchange na makubaliano ... Sasa hayo mahindi ya zambia tani 20000 ata mkoa mmoja wa tz hayawatoshi kwa mwaka. Ndo ujiulize kama ilikua kwa ajiri ya njaa
 
Pitia taarifa za bidhaa zinazoagizwa toka nje na uangalie kiasi gani kinatoka Kenya.
Kwa taarifa yako Tanzania ndio inaongoza kuingiza bidhaa kenya acha kukariri mambo hiyo ni fact wala sio ushabiki usije fikiri kenya inavyobania bidhaa za Tanzania kuingia kenya ni swala la mchezo
 
Pitia taarifa za bidhaa zinazoagizwa toka nje na uangalie kiasi gani kinatoka Kenya.
Kuagizwa Kenya haimaanishi kwamba nchi zingine hazitengenezi bidhaa hizo Kenya tukiwabania tunaagiza nchi zingine ata China alaff uone wao hizo product zao wanauza wapi maake soko lao kubwa tz tunakua tushawabana kende anyway hujui chochote kuhusu business any by the watanzania sisi maskini jeuri... . hatuondoi utu wetu kisa Mali get to know that
 
Hiyo ni Habari ya 2012 asiwachote akili
 
Sawa mheshimiwa, usituweke waTZ wote kwenye upeo wako wa kufikiri. Wewe hata ukiacha kununua sukari kwa duka la jirani yako kwa lengo la kumkomoa ukaifuata mikoani huko hizo ni akili zako sio zetu.
 
Nani kakudanganya hatuna mahindi? Mahindi yapo tena kwa wingi,unga ndio umefichwa
Acheni kujifanya wazungu eti unga unaenda supermarket.kwani kama mahindi yapo ukipeleka masineni hayawi unga? au mashine za kusaga hakuna huko?? nchi ya ajabu sana nyie mnaishije?? sasa mahindi mnayo kiguru na njia ya nini kuzunguka nchi za wachapakazi kwenda kuomba mahindi wakati ninyi mnapiga siasa tuu?? mnabadilisha majina kila uchaguzi mara NASA... kwani mnataka kwenda mwezini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…