Wakenya wazawa wachukua usukani kwenye makampuni mbalimbali yaliyokuwa yanasimamiwa na wageni

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi ndivyo inavyopaswa, badala ya kulea majungu na chuki kila anapoteuliwa mgeni kusimamia kampuni, mnachopaswa kufanya ni kukubali mapungufu yenu na kupambana ili mjiboreshe na kuanza kuaminika kwenye uwezo wenu, haya makampuni huwa makini sana wakati wa usaili, hukagua kila kitu sio elimu tu, ukiwa kajamba hautapata nafasi kwao.

Napata fahari sana kuona wazawa wazalendo wamedhihirisha uwezo wao kusimamia makampuni kama haya ya kimataifa. Halafu ikumbukwe tumebadilisha mtaala wa elimu, tumeondoa 844 na kukumbatia mtaala uliobuniwa na wazawa baada ya kudadavua kila kitu, tujiandae siku za usoni kuona Wakenya wenyewe tukisimamia na kujenga miundo mbinu yetu.
====================

Some of the executive changes this year took place at the country’s biggest companies where Kenyans took the reins, breaking a long-running tradition of appointing foreigners seconded from other subsidiaries.

Safaricom , East African Breweries Limited (EABL), BAT Kenya and Kenya Airways appointed new leaders –Peter Ndegwa, Jane Karuku, Crispin Achola and Allan Kilavuka respectively.

Retirement is a unique factor at insurance group Britam where long-serving chief executive Benson Wairegi is stepping down at the end of this month when his successor will be named.

Pressure to improve performance saw CIC Insurance hire Mr Patrick Nyaga, a former finance and strategy director of Co-op Bank , as its CEO.

A similar goal led to a boardroom purge at electricity distributor Kenya where half of the non-executive directors were forced out.

In a rare move, agricultural firm Kakuzi was forced to shake up its boardroom including the appointment of billionaire investor John Kibunga Kimani to appease the local community that has accused the firm of long-running human rights abuse.

Mr Ndegwa took the mantle at Safaricom on April 1 from Michael Joseph who was holding the post temporarily following the death of Bob Collymore. He becomes the first Kenyan to lead the telco since it went public in 2008.

Mr Joseph, who remained on the telco’s board as a non-executive director, recently took the additional role of chairman to replace Nicholas Ng’ang’a who retired.

Mr Ndegwa said his vision is to make Safaricom a technology company by expanding the breadth of its services. He is also on the verge of shepherding the company’s first cross-border expansion with a bid for one of Ethiopia’s telecommunications licences.

EABL announced that Ms Karuku will take over from Andrew Cowan on January 1, 2021. She became the first Kenyan to lead the brewer in more than a decade.

The changes followed Mr Cowan’s promotion to the post of managing director for beer and spirits giant Diageo’s Africa regional markets.

Mr Achola, also a Kenyan, will take the reins at BAT on January 1, 2021, replacing Beverley Spencer-Obatoyinbo.

The appoint marks a comeback for Mr Achola who had previously worked at the cigarette manufacturer for 19 years before exiting in 2017.

Greatest challenge

Mr Kilavuka was confirmed as Kenya Airway’s chief executive on February 27, filling a vacancy left by his predecessor Sebastian Mikosz who resigned ahead of his contract expiry and later took an appointment at the International Air Transport Association (IATA) as senior vice president for member and external relations.

Mr Kilavuka faces the greatest challenge of any CEO of the national carrier, with the Covid-19 pandemic adding to the company’s problems including underfunding, strategic missteps and labour unrest.

Mr Wairegi is leaving Britam after 40 years, ending one of the longest tenures among Nairobi Securities Exchange-listed firms.

He is credited with the listing of the firm on the NSE in July 2011, helping its founders, including Jimnah Mbaru and Peter Munga to reduce their stake, earning hundreds of millions of shillings from the disposals.

Turnaround artist

Mr Nyaga joined CIC on June 22 with a mandate of turning around the insurer’s performance which has recently been defined by losses and indebtedness.

He was hired from Co-op Bank where he was the finance and strategy director and was among the executives credited with the ascent of the lender that overtook storied rivals like Standard Chartered Bank Kenya to rank third in terms of absolute earnings. Co-op Bank has a 24.8 percent indirect stake in CIC.

Kenyans take the reins in top firms - Business Daily (businessdailyafrica.com)
 
Washenzi kumbe nyie mnataka watu wenu ndio wawe managers then mnataka wa kenya wawe managers ktk nchi zingine .....eboooo nonsense
 
Kila mtu ashinde mechi za nyumbani kwake.
🤣🤣🤣
 
Ndio maana mkiomba ajira kwenye makampuni ya watanzania tunawanyima vibali mnatulalamikia wabaguzi ila ikifanyika kwenu mnaona ni Mapinduzi
Kuna kampuni hata moja, kati ya hizo zilizotajwa, ambayo ilifanya uteuzi kisha waliyemteua akanyimwa vibali na GOK? Hakuna kampuni hata moja hapo ambayo imeshurutishwa kumteua mzawa kama CEO. Wala hakuna kampuni ambayo imepangiwa na GOK kwamba isiajiri mtanzania, mrundi, n.k. Wazawa wamedhihirisha kwamba wana ujuzi na sifa za kutosha kuongoza kampuni zenyewe, ambazo zote ni za kibinafsi(GOK wana hisa kwenye Safaricom tu). Ndio maana kampuni moja baada ya nyingine zimeanza kutupilia mbali utamaduni wa kuwafata wageni.
 
MK254, zamani nilikuwa najua kwamba tatizo ni lugha gongana. Ndio maana nilikuwa nakurai uwe unakumbuka kuambatanisha taarifa kama hiyo hapo na tafsiri yake kwa kiswahili. Ila baada ya kuona maelezo uliyoyatoa kwa ufupi, tena kwa kiswahili, kabla ya taarifa. Yakifatiliwa na hizo comment za ajabu ajabu, nimebaki na maswali chungu nzima. Tatizo ni nini haswa ni utamaduni, elimu duni, uelewa finyu au ni 'nature' tu ya kawaida inayohusu IQ? Maanake ukipatana na vitu kama hivyo baada ya kutoka Quora, Skyscrappercity au forum zingine huwa ni kama 'downgrade' moja ya kisasi pamoja na 'force of gravity'X10, kwa mpigo.
 
Ndio maana mkiomba ajira kwenye makampuni ya watanzania tunawanyima vibali mnatulalamikia wabaguzi ila ikifanyika kwenu mnaona ni Mapinduzi

Sisi hatukatalii wageni, tunayapa makampuni uhuru wa kuajiri wanaowataka, ila tunapambana kimya kimya kujiboresha mpaka tuaminike kwenye kuachiwa makampuni kama hayo, ila nyie huko makampuni yakiomba kuajiri Wakenya, mnang'aka eti mpo na wenye uwezo huo wengi tu, ila bado yanaghairi kuwaajiri maana mkikatalia Mkenya basi anaajiriwa Mhindi au Mwarabu maana ngozi nyeupe huwafanya mfyate.

Inapaswa mjiboreshe, acheni majungu na wivu, pambana, fanya kazi kwa bidii, acheni uzembe uliokubuhu.
 
MK254,
Hawa kina Ndegwa toka Mzee Uhuru Kenyatta days huwa hawakai Mbali na mahali penye pesa siku zote toka ktk mabenki, insurance na sasa mobile banking!

Kuna kampuni hata moja, kati ya hizo zilizotajwa, ambayo ilifanya uteuzi kisha waliyemteua akanyimwa vibali na GOK? Hakuna kampuni hata moja hapo ambayo imeshurutishwa kumteua mzawa kama CEO. Wala hakuna kampuni ambayo imepangiwa na GOK kwamba isiajiri mtanzania, mrundi, n.k. Wazawa wamedhihirisha kwamba wana ujuzi na sifa za kutosha kuongoza kampuni zenyewe, ambazo zote ni za kibinafsi(GOK wana hisa kwenye Safaricom tu). Ndio maana kampuni moja baada ya nyingine zimeanza kutupilia mbali utamaduni wa kuwafata wageni.
Kwann mlimtoa Sebastian Ex KQ CEO ? Do you think Kilavula is more experienced than Seba ?
 
Sisi hatukatalii wageni, tunayapa makampuni uhuru wa kuajiri wanaowataka, ila tunapambana kimya kimya kujiboresha mpaka tuaminike kwenye kuachiwa makampuni kama hayo, ila nyie huko makampuni yakiomba kuajiri Wakenya, mnang'aka eti mpo na wenye uwezo huo wengi tu, ila bado yanaghairi kuwaajiri maana mkikatalia Mkenya basi anaajiriwa Mhindi au Mwarabu maana ngozi nyeupe huwafanya mfyate.

Inapaswa mjiboreshe, acheni majungu na wivu, pambana, fanya kazi kwa bidii, acheni uzembe uliokubuhu.
Sasa we kwa mawazo yako hapa Tz hakuna wasomi ambao wana degree kama za wakenya ? Silly !
 
Digri haitoshi na ndio maana hayo makampuni hayawataki nyie, mkikatalia Wakenya yanafuata ngozi nyeupe mnaufyata.
 
Hivi ndivyo inavyopaswa, badala ya kulea majungu na chuki kila anapoteuliwa mgeni kusimamia kampuni, mnachopaswa kufanya ni kukubali mapungufu yenu na kupambana ili mjiboreshe na kuanza kuaminika kwenye uwezo wenu, haya makampuni huwa makini sana wakati wa usaili, hukagua kila kitu sio elimu tu, ukiwa kajamba hautapata nafasi kwao.

Napata fahari sana kuona wazawa wazalendo wamedhihirisha uwezo wao kusimamia makampuni kama haya ya kimataifa. Halafu ikumbukwe tumebadilisha mtaala wa elimu, tumeondoa 844 na kukumbatia mtaala uliobuniwa na wazawa baada ya kudadavua kila kitu, tujiandae siku za usoni kuona Wakenya wenyewe tukisimamia na kujenga miundo mbinu yetu.
====================

Some of the executive changes this year took place at the country’s biggest companies where Kenyans took the reins, breaking a long-running tradition of appointing foreigners seconded from other subsidiaries.

Safaricom , East African Breweries Limited (EABL), BAT Kenya and Kenya Airways appointed new leaders –Peter Ndegwa, Jane Karuku, Crispin Achola and Allan Kilavuka respectively.

Retirement is a unique factor at insurance group Britam where long-serving chief executive Benson Wairegi is stepping down at the end of this month when his successor will be named.

Pressure to improve performance saw CIC Insurance hire Mr Patrick Nyaga, a former finance and strategy director of Co-op Bank , as its CEO.

A similar goal led to a boardroom purge at electricity distributor Kenya where half of the non-executive directors were forced out.

In a rare move, agricultural firm Kakuzi was forced to shake up its boardroom including the appointment of billionaire investor John Kibunga Kimani to appease the local community that has accused the firm of long-running human rights abuse.

Mr Ndegwa took the mantle at Safaricom on April 1 from Michael Joseph who was holding the post temporarily following the death of Bob Collymore. He becomes the first Kenyan to lead the telco since it went public in 2008.

Mr Joseph, who remained on the telco’s board as a non-executive director, recently took the additional role of chairman to replace Nicholas Ng’ang’a who retired.

Mr Ndegwa said his vision is to make Safaricom a technology company by expanding the breadth of its services. He is also on the verge of shepherding the company’s first cross-border expansion with a bid for one of Ethiopia’s telecommunications licences.

EABL announced that Ms Karuku will take over from Andrew Cowan on January 1, 2021. She became the first Kenyan to lead the brewer in more than a decade.

The changes followed Mr Cowan’s promotion to the post of managing director for beer and spirits giant Diageo’s Africa regional markets.

Mr Achola, also a Kenyan, will take the reins at BAT on January 1, 2021, replacing Beverley Spencer-Obatoyinbo.

The appoint marks a comeback for Mr Achola who had previously worked at the cigarette manufacturer for 19 years before exiting in 2017.

Greatest challenge

Mr Kilavuka was confirmed as Kenya Airway’s chief executive on February 27, filling a vacancy left by his predecessor Sebastian Mikosz who resigned ahead of his contract expiry and later took an appointment at the International Air Transport Association (IATA) as senior vice president for member and external relations.

Mr Kilavuka faces the greatest challenge of any CEO of the national carrier, with the Covid-19 pandemic adding to the company’s problems including underfunding, strategic missteps and labour unrest.

Mr Wairegi is leaving Britam after 40 years, ending one of the longest tenures among Nairobi Securities Exchange-listed firms.

He is credited with the listing of the firm on the NSE in July 2011, helping its founders, including Jimnah Mbaru and Peter Munga to reduce their stake, earning hundreds of millions of shillings from the disposals.

Turnaround artist

Mr Nyaga joined CIC on June 22 with a mandate of turning around the insurer’s performance which has recently been defined by losses and indebtedness.

He was hired from Co-op Bank where he was the finance and strategy director and was among the executives credited with the ascent of the lender that overtook storied rivals like Standard Chartered Bank Kenya to rank third in terms of absolute earnings. Co-op Bank has a 24.8 percent indirect stake in CIC.

Kenyans take the reins in top firms - Business Daily (businessdailyafrica.com)
Mkuu MK254 sasahv mtaala wenu ukoje? I studied there miaka kadhaa nyuma n I'm missing Karen

Thanks
 
Digri haitoshi na ndio maana hayo makampuni hayawataki nyie, mkikatalia Wakenya yanafuata ngozi nyeupe mnaufyata.
Haha nilikuuliza kwann mlifukuza Sebastian as KQ CEO then mka weka Kilavula ina maana Kilavula ninmore experienced than seba ? Tena ktk nqfasi iyo iyo ya CEO ?
 
Kuna kampuni hata moja, kati ya hizo zilizotajwa, ambayo ilifanya uteuzi kisha waliyemteua akanyimwa vibali na GOK? Hakuna kampuni hata moja hapo ambayo imeshurutishwa kumteua mzawa kama CEO. Wala hakuna kampuni ambayo imepangiwa na GOK kwamba isiajiri mtanzania, mrundi, n.k. Wazawa wamedhihirisha kwamba wana ujuzi na sifa za kutosha kuongoza kampuni zenyewe, ambazo zote ni za kibinafsi(GOK wana hisa kwenye Safaricom tu). Ndio maana kampuni moja baada ya nyingine zimeanza kutupilia mbali utamaduni wa kuwafata wageni.
Safaricom ilishurutishwa kuajiri CEO Mkenya!
 
Haha nilikuuliza kwann mlifukuza Sebastian as KQ CEO then mka weka Kilavula ina maana Kilavula ninmore experienced than seba ? Tena ktk nqfasi iyo iyo ya CEO ?

Hayo ni maamuzi ya KQ kama kampuni ya serikali yenye ubia na wadau binafsi, walikaa wakatafakari tija ya kuajiri huyo Kilavula.
Kimsingi uhuru wa makampuni kwenye kuamua nani awe mkurugenzi au ashikilie wadhifa gani haungiliwi.
Sasa huko kwenu kampuni ikiamua kumfuata Mkenya, mnamkatalia basi wanaona isiwe tabu wanafuata Mwarabu au Mhindi huko nje, mnaachwa hamguswi.
 
Back
Top Bottom