joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hali ya ukosefu wa ajira unaotokana na utawala wa hovyo wa Kenya, kumesababisha wakenya wengi kuchanganyikiwa na wengine kupendekeza kufanyike maandamano ya Umma ili kuondoa uongozi wa Jubilee ambao unaonekana wazi kwamba umeshindwa kuongoza nchi.
Endelea kuosoma "comments " za wakenya chini ya hiyo video, kisha weka maoni yako hapa JF, huenda yakasaidia katika kupata ufumbuzi wa matatizo ya Kenya.