joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakija watajitapa kuwa "wi ari ze ekonomiki pawa hausi in isti Afirika".
Hali ya ukosefu wa ajira unaotokana na utawala wa hovyo wa Kenya, kumesababisha wakenya wengi kuchanganyikiwa na wengine kupendekeza kufanyike maandamano ya Umma ili kuondoa uongozi wa Jubilee ambao unaonekana wazi kwamba umeshindwa kuongoza nchi.
Endelea kuosoma "comments " za wakenya chini ya hiyo video, kisha weka maoni yako hapa JF, huenda yakasaidia katika kupata ufumbuzi wa matatizo ya Kenya.

Source umetoa TUKO...Mungu wangu!!si mnatapatapa sana kutafuta njia ya kuipaka kenya mabaya jf...leo naona umeachana na comments za youtube
Hali ya ukosefu wa ajira unaotokana na utawala wa hovyo wa Kenya, kumesababisha wakenya wengi kuchanganyikiwa na wengine kupendekeza kufanyike maandamano ya Umma ili kuondoa uongozi wa Jubilee ambao unaonekana wazi kwamba umeshindwa kuongoza nchi.
Endelea kuosoma "comments " za wakenya chini ya hiyo video, kisha weka maoni yako hapa JF, huenda yakasaidia katika kupata ufumbuzi wa matatizo ya Kenya.
Hahahaha, huko ndio kuchanganyikiwa kwenyewe, pole sanaSource umetoa TUKO...Mungu wangu!!si mnatapatapa sana kutafuta njia ya kuipaka kenya mabaya jf...leo naona umeachana na comments za youtube
Topic inahusu kuchanganyikiwa kwa wakenya kutokana na kusambaratika kwa uchumi, kweli au sio kweli?Watanzania wakiongea hivyo kwa media watafungwa korokoroni na supremo dikteta.
Topic inahusu kuchanganyikiwa kwa wakenya kutokana na kusambaratika kwa uchumi, kweli au sio kweli?
Kama tulivyosema hapa mara mingi, inaposimama Kenya, Tanzania ni kubaya mara tatu.
Hahahaha, hahahaha.Kama tulivyosema hapa mara mingi, inaposimama Kenya, Tanzania ni kubaya mara tatu.
Hahahaha, huko ndio kuchanganyikiwa kwenyewe, pole sana
Bwaaaaaahhh Uzi wako wa jwtz tumeupiga pin tehteeee