Wakenya wazidi kutetemesha jiji la London

Bravo majirani kwa usbindii huu, God bless Africa
 
jingalao vipi dogo amejaribu ila kama kawaida +254 ndio wamiliki wa haya mambo, naona umepiga kimya ghafla.
Kuingia tano bora kwa huyu Mbongo wetu ni safi sana na amejaribu sana naamini akiedelea kwa mazoezi na kupata fursa za kushiriki mara kwa mara atazidi kujiimarisha..big Up A.
 
Saa hizi tunakula sahani moja katika kila nyanja si riadha, si utalii palipo na ke, tz haikosi
 
Napigaje kimyaa wakati jamaa anaclose the gap?

Kaka Waethiopia na Wanganda kila uchao wamejaribu ku-close gap miaka yote lakini wapi, huyo dogo tunampa hongera kwa kuhema nyuma ya Wakenya lakini samahani itabidi aishiye hapo maana sisi ni shguhuli nyingine.
 
Kaka Waethiopia na Wanganda kila uchao wamejaribu ku-close gap miaka yote lakini wapi, huyo dogo tunampa hongera kwa kuhema nyuma ya Wakenya lakini samahani itabidi aishiye hapo maana sisi ni shguhuli nyingine.
Muda ni msema kweli...tutakutana hapa hapa jamvini.
 
Muda ni msema kweli...tutakutana hapa hapa jamvini.

Sio kila kitu hutegemea muda, kuna mengine impossible.... Labda dogo aombe tumwachie siku moja.
 
ILI KUONDOA HII AIBU NATOA AMRI IFUATAYO

1. Wizara ya michezo na baraza la michezo taifa liache kufikiria kuwa michezo ni SOKA, BONGO FLAVOUR na BONGO MOVIES

2. Wafute ligi ya mpira wa miguu kwani imeshindwa kutuletea heshma kama nchi kwani timu ya Taifa ya mpira wa miguu haijawahi kushika hata namba 50 ya dunia huyu mwanariadha kashika namba 5 nadhani ni kama ya dunia maana hakuna mzungu hata mmoja aliyemshinda

3.Ianzishwe ligi ya riadha na wanariadha chipukizi watafutwe vijijini kwenye mikoa yenye asili ya wanariadha kama ARUSHA, SINGIDA na MARA na sii kuchukua wajanja wajanja wa dar na kwenda kutuaibishwa

4. Simbu atunzwe kuliko anavyotunzwa FARU FAUSTA ili kila chochote anachokitaka kufanikisha safari yake ya GOLD MEDAL akipate na tukizubaa , wazungu sasa wanamfuatilia wanaweza kumuiba kama akina MO FARAH.
 
Hongera mashujaa wa kenya, waswahili wamekula huuu[emoji90] [emoji90] [emoji2] [emoji109] , waingereza wangewapa ata angalau makopo ya plastiki nao wajihisi vizuri!
 
Safari ya kuikamata Gold inaendelea...soon tutafika...

hongera Simbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…