Wakenya wengi wanamkubali sana Rais JPM

Hadi UG[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushahidi upo kwenye comment za huu wimbo mpya wa Harmonize - Magufuli, comment nyingi za wakenya wakitamani kupata raisi Kama JPM
Wimbo ameimbiwa JPM lakini wakenya wamejazana kucoment [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwasababu hawaishi nae!

Hawajui incompetencies zake!

Wanamuona at a far which is really skewed view!

Jiwe is a total failure!

Wasiolala hiki kitanda hawajui ukali wa kunguni wake!
 
Ukikaa huku jamii forums unaweza ukasema 2020 upinzani watachukua nchi[emoji23][emoji23]

Lakini kiuhalisia maskini wengi wanampenda Magufuli...ata hawa machinga waliolipishwa vitambulisho wanampenda sana...

Ooh yeah??

Takwimu unazo?

Kawaulize Twaweza walipofanya mwaka ule walipata kiasi gani na Jiwe akapaniki kiasi gani?

Stop being a bitch ma nigga!
 
😁😁😁😁 Halafu Wakenya wapo obsessed na Tanzania sana they are thoroughly watching the space sababu tumewatupa mbali sana so far 😅😅😅
Kumbe YouTube! Nilikuwa nashinda huko mwaka jana. Midanganyika ina mitusi joh! Hampendi wakenya kabisa.
Licha ya hayo mnayosema wananchi wanaikimbia nchi. eliakeem na Bantugbro hawataki kukaa huko.
Wyatt Mathewson yupo njiani akielekea Nigeria😎😊
 
Nani asietaka kukaa Tanzania? Me mwenyewe nikitoka nje najihisi mgonjwa, Watanzania wanachukia Kenya wakati huku jf wanamuona uhuru kama mungu wao? Eti baba wa democracy wakifikiri wakisema hivyo ndio JPM anaona gere 😅😅😅 mtakaa sana
 
Sasa wewe umemuudhi mtu [emoji23][emoji23][emoji23] unategemea nini kwa mfano, alafu kingine unakuta labda video imewekwa kuonesha sehemu za Tz alafu anatokea mkenya anacoment comment ya wivu, lazima uoge mvua ya matusi
 
Ukiona comment za wa amerika baada ya kuona vituo vya sgr kenya...ndio utaumia kabisa...

So hicho si kigezo cha kumfanya awe rais bora...au na nyinyi mletewe za watanzania wanavyopagawa na uhuru mtokwe na povu
Hahahaha, kama wapo ni miongoni mwa wavuta bangi au vichaa. Kama hata ninyi wenyewe hamumpendi, vipi raia wa nchi zengine wampende?.

Naomba utuonyeshee comments za raia wa nchi zifuatazo wanaompenda Uhuru Kenyatta
1)Senegal
2)Gambia
3) Liberia
5)Namibia
6)Zimbabwe
7) DRC
8)Nigeria
9)Haiti
10) Jamaica

Kila nchi weka comments 2 tu, Mimi nitakuwekea comments 5 kwa kila nchi zinazompenda na kumkubali uncle Magu.
 
Ooh yeah??

Takwimu unazo?

Kawaulize Twaweza walipofanya mwaka ule walipata kiasi gani na Jiwe akapaniki kiasi gani?

Stop being a bitch ma nigga!
Mkuu huo ndio uhalisia, takwimu zinaweza kudanganya kwaajili ya maslahi fulani

Ni maskini wachache sana hawamkubali magufuli...

Usikasirike na kunitukana
 
Ngoja nikanunue kabisa popcorn nisubirie alete [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwasababu hawaishi nae!

Hawajui incompetencies zake!

Wanamuona at a far which is really skewed view!

Jiwe is a total failure!

Wasiolala hiki kitanda hawajui ukali wa kunguni wake!
Mbona Uhuru Kenyatta hatuishi naye lakini tunajua kwamba hafai?, mbona hakuna nchi yoyote ile inayomtamani Uhuru Kenyatta kuwa rais wake?, iweje watanzania wengi wanamkubali JPM kuliko ilivyokua kwa Kikwete na wote waliishi nao?
 
Wewe siku hizi siwezi kujibishana na wewe, ninakuheshimu sana kati ya wakenya wote. Japo umezaliwa Kenya, lakini roho, Upendo na wema wako sio wa Kenya, lazima umevipata toka Bongo. Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…