barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Bana choo mkuu..Muulize anajua kama ndugu zake wametapeliwa hela za korosho?
Mbona Uhuru Kenyatta hatuishi naye lakini tunajua kwamba hafai?, mbona hakuna nchi yoyote ile inayomtamani Uhuru Kenyatta kuwa rais wake?, iweje watanzania wengi wanamkubali JPM kuliko ilivyokua kwa Kikwete na wote waliishi nao?
Hebu weka huu uzi palipo Watanzania, kwa mfano uuweke kwenye majukwa ya Watanzania humu JF uone mziki wake, utatukanwa hadi ukimbie.
Watu nje ya nchi ya Tanzania hutegema kusoma yaliyo kwenye magazeti yenu ambayo kutwa yanaimba mapambio ya sifa, maana pakiibuka mwandishi asiyeimba sifa anakumbana na masaibu kama tunayosma kuhusu huyo Kabendera, nimesoma sehemu mumemfungulia mashtaka ya uhaini kisa tu kaandika, jameni uhaini adhabu yake kifo, dah huko kwenu balaa.
Kwa kifupi comments za watu nje ya nchi wanaotegemea kusoma magazeti sio kipimo bora, MaCCM mnafaa kuangalia upepo kwenu ndani, je Mtanzania wa kawaida anasemaje, comments zake ziko vipi ukimpa uhuru wa kusema, tatizo pia kwenu mumezuia wapinzani wasiongee, wakikusanyika hata watano wanapokea kibano, ilhali MaCCm wenyewe hata halaiki mnakusanyika, kutwa mpo kikampeni zaidi. Niliona uzi humu hata polisi wanahutubia na kusifia kwenye mkutano wa CCM.
Mkuu huo ndio uhalisia, takwimu zinaweza kudanganya kwaajili ya maslahi fulani
Ni maskini wachache sana hawamkubali magufuli...
Usikasirike na kunitukana
Hahahaah chuki humchoma anayehifadhi
Hahahaha, kama wapo ni miongoni mwa wavuta bangi au vichaa. Kama hata ninyi wenyewe hamumpendi, vipi raia wa nchi zengine wampende?.
Naomba utuonyeshee comments za raia wa nchi zifuatazo wanaompenda Uhuru Kenyatta
1)Senegal
2)Gambia
3) Liberia
5)Namibia
6)Zimbabwe
7) DRC
8)Nigeria
9)Haiti
10) Jamaica
Kila nchi weka comments 2 tu, Mimi nitakuwekea comments 5 kwa kila nchi zinazompenda na kumkubali uncle Magu.
Kwani ye kakwambia ni mwanasiasa???
Kule ni kwa ajili ya wanasiasa,sasa ye si mwanasiasa!!...sasa nani huzingatia maoni ya wanasiasa??????
Apeleke jukwaa lolote ambalo Watanzania wanachangia, apate za uso moja kwa moja. Watu vyuma vimekaza mtaani halafu unawapelekea misifa ya kwenye Youtube.
Bana choo mkuu..
Jombaaa hao ni vilaza tuu...
Sasa kama vyuma vimekaza ye uncle magu afanyeje????...awapelekee sufuria la ugali majumbani mwao???..au nyie wenzetu uhuru hugawa sahani ya githeri kwa kila mtu aliyefulia...
Pombe kashakwambia kazeni,mkizembea mtakufa njaa...big up ngosha!!
Hao wakenya wenyewe hawamtaki rais wao, vipi wao pia ni kitanda usichokilala?. Sidhani kama West Africa wanajua jina la rais wa Kenya, Magufuli anajulikana karibia Africa nzima kwa kazi anazozifanya.
Nasikia amefanikiwa kudhibiti vifo vya watanzania.Africa nzima?
Kazi gani anazozifanya yeye ambazo zinamfanya awe kiongozi anayejulikana Africa nzima?
kipi kipya alichokifanya yeye ambacho Marais wengine wa Africa hawajakifanya?
Ataukimbia uzi wake, unajua kidogo humu JF ndio Watanzania wengi hupata kafursa kakusema, maana kule nje athubutu kuongea tu....defenda zinageuzwa geuzwa mtaani.
Hawamjui Magu vizuri na kiufupi magu amebana propaganda zote za kuongea ukweli kuhusu yeye ameachia zote za kumsifu.Ushahidi upo kwenye comment za huu wimbo mpya wa Harmonize - Magufuli, comment nyingi za wakenya wakitamani kupata raisi Kama JPM
Wimbo ameimbiwa JPM lakini wakenya wamejazana kucoment [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko hakukufai, watu wana roho mbaya sana, hamia huku uje ujionee Upendo, umoja na mshikamano ndani ya MOYO za watu.Flatter flatter flatter flattery
Daima Mimi Mkenya Mwananchi Mzalendo
what?Im_marwa ni biggest youtuber in Kenya
Mombasa ni city, Nakuru is a huge town etc. Ni hard upate diehard bongo fans in urban centres unless ni new wave of settlers. But ukienda ocha/village, Bongo is the real thingItakuwa sio wakenya hao villagers...
Maana kenya ni nairobi tu,huko turkana,mombasa,dongo kundi,kakuma,kaijado,nyeri si kenya huko...
Ukikaa huku jamii forums unaweza ukasema 2020 upinzani watachukua nchi[emoji23][emoji23]
Lakini kiuhalisia maskini wengi wanampenda Magufuli...ata hawa machinga waliolipishwa vitambulisho wanampenda sana...
Kwenu wapi huko Rwanda au Burundi??Msilolijua litawasumbua
Ujumbe kwenu Wakenya Wanigeria etc
Hamyajui tunayoyajua
Yaliyopo huko kwenu ndiyo yaliyopo huku actually huku kwetu ni worse kuliko mnavyodhani