Mzee ambaye ni mvuvi katika pwani ya Tanzania apingana kuwa kuna maendeleo yoyote katika serikali hii. Katika mahojiano hayo ambayo yalimtisha hata mwandishi wa habari jinsi Mzee huyo alivyotoa ya moyoni kuhusu hali hali ya maendeleo na uchumi wa Tanzania. Maneno ya Mzee huyu yanaakisi maoni ya wengi katika jukwaa hili la JamiiForums kuhusu utendaji wa serikali ya awamu hii.