Wakenya wenye kipato duni kuanza kupata ruzuku kipindi cha Corona

Wakenya wenye kipato duni kuanza kupata ruzuku kipindi cha Corona

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii ni kwa ajili ya kuwapunguzia makali ya curfew iliyopo, maana hali ngumu sana mtaani, familia zote zimeanza kusajiriwa na watakua wanalipwa ruzuku hadi hali itakarudi kuwa sawa.

Rais pia amezidi kutoa tahadhari tusichukulie poa hiki kirusi, kinabamiza na kutesa mataifa yaliyoanza kwa uzembe na kejeli, leo wanazika mpaka wanatamani kukimbia nchi zao.

Hivyo ametoa msisitizo kila mmoja wetu azingatie tahadhari kwa namna yote ile. Tuombee nchi yetu, lakini pia tutumie hekima tuliyopewa na Mungu, usikae kizembe zembe huku ukibweteka kisa uliomba.

=====

President Uhuru Kenyatta has announced a raft of new measures to cushion various vulnerable groups in the country from effects of the coronavirus pandemic.

Addressing the Nation on Thursday, President Uhuru Kenyatta said the government has began providing a weekly stipend to needy households in the country, with the pilot programme being rolled out in Nairobi.

“We have identified needy households in Nairobi that will be the inaugural recipients of the weekly COVID-19 support stipend. The piloting of the programme started yesterday and some of the beneficiaries have received their stipends,” said the President.

He, however, did not announce the amount each household is set to receive.

At the same time, the President directed that county governments receive a three-month waiver from the Kenya Medical Supplies Agency for the purchase of masks and personal protective equipment (PPEs) to protect health workers and members of public from infection.

“This waiver applies to sourcing of these products locally,” said Kenyatta.

To support the county governments in the combating the COVID-19 outbreak, the President said the National Government will provide an additional Ksh.5 billion to supplement the savings generated by the counties.

“These monies will be used to cushion the most vulnerable people and to protect our health care workers,” said Kenyatta.

He further announced the release of Ksh.8.5 billion to the elderly and vulnerable individuals under the cash transfer programme run by the Ministry of Labour.

Kenyatta added that Ksh.500 million which was in arrears have also been released to persons with disability.

Source: Citizen TV
 
Lile zoezi la kuwagawia chakula linaendeleaje?
 
Inacho fanya serekal ni sawa na juhud wanazo fanya ziko saf kabisa Ila kenya iangalie pia jicho la pili juu ya kesho Yao sababu. Gonjwa ili bado tunalo Tena Zaid ya miezi kumi na moja mbele vip Kama ugonjwa utashindwa kurhibitiwa ndani ya miez mi nne baadae pumzi itakuepo? Nasema ivi sababu wakenya hawatoi ipasavyo ushirikiano kwa serekal sababu watu ni weng wanao kiuka agizo la serekal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa hapa, labda ungefafanua jicho lipi hilo la pili ambalo litatusaidia, maana kuwapa Wakenya wenye kipato cha chini ruzuku kila wiki ni mbinu za kuwaongezea pumzi ili siku zisonge hadi suluhu la kudumu litakapopatikana, ni bora kuliko kuwapiga watu lockdown huku haujali watakula nini au wataishi vipi, wakichoka watatoka nje na kufanya maasi bila kujali risasi wala Corona.
KDF sasa hivi wanazunguka kwenye mitaa wakigawa masks na kupuliza dawa na kusaidia kwa kila namna.

Watu mjifundishe na kinachotendeka Equador maana ndio mfano hai wa nini kinachoweza kikatukuta kwenye mataifa ya Afrika, miili imeachwa mitaani inavimba na kuoza utadhani mizoga ya mbwa. Muitazame hii video labda mtaelewa kitu.

Inacho fanya serekal ni sawa na juhud wanazo fanya ziko saf kabisa Ila kenya iangalie pia jicho la pili juu ya kesho Yao sababu. Gonjwa ili bado tunalo Tena Zaid ya miezi kumi na moja mbele vip Kama ugonjwa utashindwa kurhibitiwa ndani ya miez mi nne baadae pumzi itakuepo? Nasema ivi sababu wakenya hawatoi ipasavyo ushirikiano kwa serekal sababu watu ni weng wanao kiuka agizo la serekal

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na amani
Imani itatupa njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom