Wakenya: Yule kasisi aliyesema Kenya itaangamia na Covid 19 atubu

Wakenya: Yule kasisi aliyesema Kenya itaangamia na Covid 19 atubu

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Ni mijadala mikali inayoshika moto Kenya baada ya Tanzania kutangaza maambukizi mapya ambayo kitakwimu Tanzania imeonekana kuwa Taifa la kwanza Afrika Mashariki kuwa na maambukizi makubwa ya Covid 19

Wakenya wengi wanasema kuna kasisi wa Tanzania alituombea mabaya sana kuwa serikali imefunga makanisa tutaangamia na Corona

Wanasema aseme nchi yake ambayo haikufunga makanisa kama Mungu amepunguza maambukizi

Wamemtaka Askofu Gwajima aombe msamaha Wakenya na atubu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha asituombe msamaha, we dont need it, lakini atake preventive measures na pia na washirika wake, our worry was people to stop taking things casually and then involve us in their ignorance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asituombe msamaha, hatuna huo muda wa kuvurugana na kuwafata fata mazero brain kwenye upumbavu wao kisa tu eti wanajiita watumishi wa Mungu. Awaombe msamaha nyinyi watanzania wenzake kwa kutumia porojo za kidini kuwafumba macho kuhusu utepetevu wa serikali yenu na rais wenu kwenye hili janga la Corona.
 
ningependa kuona uso wa huyo 'kasisi njaa' kwa hivi sasa. sijui kama atakuwa amejificha wapi walahi.... aibuuu.... loh!
 
ila Wakenya naomba mtuwie radhi kwa hilo maana nahisi kama ulimi wake uliteleza. sisi Watanzania ni mabumbumbu, hatuna akili
 
Gwaji boy musee ya jigijigi
 
cutelove,

Dada hii ngoma ya kolona bado mbichi aflika na usijinasibu kwa lolote bado ni mapema hatujui mwisho wa siku nani atashinda na ni mbinu gani itafanikiwa physical or metaphysical huu ugonjwa ni mpya na tabia zake hazieleweki sio mafua ya kawaida au pneumonia tuliozizoea hujui yakesho jee,kesho wajuaje kama maambukizi kwenu hayatatuzidi maradufu?
 
Hatuna haja atuombe msamaha maana sisi kwetu tunaruhusu na kuheshimu uhuru wa maoni kwa kila mmoja, unaweza ukatusema kwa chochote utakacho kisha hatimaye utakwenda kulala.

Cha msingi, mpaka sasa natumai somo limemuingia huyo mhubiri ambaye huenda hata kumshauri rais, maana inawezekana yeye huwa hamshauri rais ipasavyo, ukizingatia kauli za rais wa Tanzania jinsi huwa za kutatanisha, kwamba kirusi kikiingia kanisani kitakufa.

1588205163706.jpeg
 
Nimesikia gwajima anadai,hata iigue dunia nzima,yeye hawezi kuugua,,
Aki huyu baba anakaa anajiamini
 
Dada hii ngoma ya kolona bado mbichi aflika na usijinasibu kwa lolote bado ni mapema hatujui mwisho wa siku nani atashinda na ni mbinu gani itafanikiwa physical or metaphysical huu ugonjwa ni mpya na tabia zake hazieleweki sio mafua ya kawaida au pneumonia tuliozizoea hujui yakesho jee,kesho wajuaje kama maambukizi kwenu hayatatuzidi maradufu?
Saa hizi mwizi anafukuzwa kimya kimya.
 
Back
Top Bottom