Wakenya Zaidi 70 Wageuka Kuwa Ombaomba Huko Qatar

Wakenya Zaidi 70 Wageuka Kuwa Ombaomba Huko Qatar

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo mnataka mtu akikwama ajikaushe?

Kujikausha ndiyo mwisho unaolewa na waarabu ugenini
 
Ila mabeach boys wa kitanzania waliokwama Maputo,Durban,Cape Town huwaoni?? lete hapa mada za kueleweka kama huna kama mimi wewe changia tu.
 
Back
Top Bottom