Wakenya Zaidi 70 Wageuka Kuwa Ombaomba Huko Qatar

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo mnataka mtu akikwama ajikaushe?

Kujikausha ndiyo mwisho unaolewa na waarabu ugenini
 
Ila mabeach boys wa kitanzania waliokwama Maputo,Durban,Cape Town huwaoni?? lete hapa mada za kueleweka kama huna kama mimi wewe changia tu.
 
Tena wakuje huku πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Umesahau hapa Kenya omba omba wenu wamejaa mpaka nyanda za juu kule Turkana wakiomba omba...nyani haoni kundule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…