Waki react mnalaaumu upinzani

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
idadi kubwa ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu mbali mbali wamekuwa wakilalamikia bodi ya mkopo kutowapelekea pesa zao mpaka sasa, vyuo mabavyo nimeona wanafunzi wake wakilalamika ni SAUT MWANZA, na UDOM bodi ya mkopo ipo kuwambia tunaandaa batch, miezi inapita tu jamani kumbukeni wanafunzi hawa siku wakichoka mungu nawambia yale ya mtwara ni madogo, maana viongozi wetu mnasoma humu hammuulizi ila kesho hawa vijana wakifanya fujo mtasema wanatumiwa na vyama vya siasa, ili hali tatizo lipo sasa na mnaliona ila mpo kimya, haya nimeona humu kuwa wale wa UDOM chama cha CHADEmA kimesema kitawasaidia kupunguza ukali wa maisha nini sasa Kijana Baada ya kusoma anaanza changanywa na interest za kisiasa I hate this rubbish country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…