Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
UNABII HAUSIHI MPAKA UTIMIE
Jakaya amenikumbusha mbali sana enzi napenda kwenda uwanjani.
Alikuwepo akasikia Simba wamechukua Morrison. Hahaha akajibu, "Kama wamechukua Morrison, na nyie chukueni wao."
Naona unabii umetimia...
Kwa Manara, Done.
Akiwa Simba, alisema Yanga hawatachukua ubingwa labda Mzee aondoke.
Bila aibu, Yanga hawakukosea. Sasa hao mabingwa wakaja na porojo, hoongo za marefa.
Wakaambiwa, "Nendeni mkaonge na nyie." Mwaka wa tatu hao na NBC yao.
Endeleeni kelele huku unabii ukitimia. Mwaka huu nawaona wanne kwenye ligi.