Tangu magufuli awatoe kapa uchaguzi 2020 wapinzani mumekua na kiwewe hakiishi. Mko obsessed na chuki ya ajabu😂Kwa hiyo ulitaka wakikuyu wacheze ngoma ya Kenyatta, siyo? hizo shutuma za ufisadi umeziona wewe kuliko wao ambao uchaguzi unawahusu, acha kufananisha uchaguzi wa Kenya na chafuzi zinazofanyika hapa bongolala.......
Swala la uchaguzi kuwa genuine ni swala la kikatiba, siyo la upinzani wala mama yake upinzani.Tangu magufuli awatoe kapa uchaguzi 2020 wapinzani mumekua na kiwewe hakiishi. Mko obsessed na chuki ya ajabu😂