Wakili afungwa miaka 7 kwa kumuua Mpenzi wake

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wakili wa Kujitegemea Steven Mduma (38) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia Mpenzi wake aitwae Jackline Mwanjimbe.

Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji John Nkwabi baada ya kupatikana na hatia hiyo ambapo Wakili wa Serikali Judith Kyamba aliiomba Mahakama hiyo itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.

Wakili Mduma anadaiwa kutenda tukio hilo Oktoba 4,2020 maeneo ya Kimara Bucha Jijini Dar es salaam ambapo alimuua Jackline muda mfupi baada ya kutoka baa alipokwenda kulewa
 
Akitoka jela ndugu wa mwanamke wanammalizia
 
Back
Top Bottom