Wakili alipwa Tsh milioni 80 kumwokoa Ole Sabaya

Kuna mtu humu amesema una akili ya KUKU, Bavich wanaingiaje hapa
Baada ya kuona kesi ya kupika inaonyesha rangi yake halisi, BAVICHA waja na mbinu mbadara kama kawaida yao.
 
kumbe kazi ya uwakili ina mshahara mkubwa! nadhani kuliko hata hakimu.
aise! hii ndio kazi ya kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…