Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Mar 19, 2018 #1 Ndugu zangu assalaam alaykum Nimeletewa ombi ambalo nawasilisha kwenu kuhusu wakili anayefahamu lugha hizo mbili au moja wapo kati yao.Kiingereza na Kiswahili kwa leo sio shida. Nawaombeni msaada haraka iwezekanavyo.
Ndugu zangu assalaam alaykum Nimeletewa ombi ambalo nawasilisha kwenu kuhusu wakili anayefahamu lugha hizo mbili au moja wapo kati yao.Kiingereza na Kiswahili kwa leo sio shida. Nawaombeni msaada haraka iwezekanavyo.