mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Wakili wa kujitegemea Mahinyila ameenguliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Berege, kilichopo kata ya Berege, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma kutakana na kile kilichoelezwa kuwa yeye si mkazi halisi wa kijiji hicho
Wakili Mahinyila aliyekuwa anagombea nafasi hiyo kupitia CHADEMA amesema kwa sasa ameandika pingamizi kupinga maamuzi hayo na kwamba tayari pingamizi lake ameliwasilisha kwa msimamizi huyo akisuburi hatua inayofuata.