LGE2024 Wakili Deogratias Mahinyila aenguliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji cha Berege kwa madai kuwa si mkazi wa eneo hilo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Wakili wa kujitegemea Mahinyila ameenguliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Berege, kilichopo kata ya Berege, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma kutakana na kile kilichoelezwa kuwa yeye si mkazi halisi wa kijiji hicho

Wakili Mahinyila aliyekuwa anagombea nafasi hiyo kupitia CHADEMA amesema kwa sasa ameandika pingamizi kupinga maamuzi hayo na kwamba tayari pingamizi lake ameliwasilisha kwa msimamizi huyo akisuburi hatua inayofuata.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…