Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
“Asilimia kubwa ya vijana ambao wanatekwa ni vijana wa upinzani ni vijana WanaCHADEMA ni vijana wanaharakati.
Kwa kuwa watu wanaotekwa ni watu wenye mrengo huu wa kimageuzi ni watu wanaoiunga CHADEMA hebu tuambieni kwanini tusiamini kutekwa kwao mnataka kupunguza ari na morali ya vijana wa upinzani kuendelea kuikosoa serikali kwa nini tusiamini huu ni mkakati wa kupunguza kasi yetu ya kuwa wapinzani.
Ni kikundi gani kina maslahi na vijana wa CHADEMA. Polisi mtuambie hawa watu ambao wanaotuteka vijana wa chadema wanaowateka vijana ambao wana maoni tofauti na serikali”
Soma, Pia

- Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda huu sakata la Utekaji nchini
- Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi