Matata ameyasema hayo siku ya Alhamisi Februari 13, 2025 katika mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche uliofanyika katika kata ya Sirari wilayani Tarime mkoani Mara.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amesema kuwa viongozi wa nchi ya Tanzania wamekuwa na changamoto ya kutoheshimu sheria na katiba za nchi kutokana na sheria hizo kuwa na mapungufu ambayo yanasababisha viongozi hao kutowajibishwa vilivyo na wananchi.
Mbona hajaainisha hizo kauli ili zipimwe na kila mtu tuone ukweli wake?Kila mmoja akiacha kazi za maana na kumshambulia au afiche uovu wake kwa kumtumia Albert Chalamila itakuwaje?Chalamila ni kiongozi comical tu.Tusisshupaze sura na shingo juu yake.