Wakili Francis Tola

Wakili Francis Tola

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Heshima kwenu wakuu.
naangalia Itv Huyu wakili anaelezea vizuri sana kuhusu mambo ya bunge la katiba...fuatilia
 
Heshima kwenu wakuu.
naangalia Itv Huyu wakili anaelezea vizuri sana kuhusu mambo ya bunge la katiba...fuatilia

Huyu ni objective! Huyu aliyefunga tai vibaya ni CCM, ana arguments za kitot na mifano ya kitoto. Mambo ya msingi wanyumba na fundi hayaendeni namijadala ya katiba!
 
Heshima kwenu wakuu.
naangalia Itv Huyu wakili anaelezea vizuri sana kuhusu mambo ya bunge la katiba...fuatilia
hamna kitu hapo, hao wakiwa hapo wanatafutaga ujaji tu hawanaga maslahi na raia, si rais wa tanganyika law society huyo, hana lolote huyo.
 
advocate Francis Tolah ni mojawapo ya smart advocates ndani na nje ya Tanzania. I know him personally. soon atakuwa judge hapa Tanzania.
 
Na yeye ni wakili msomi sana Francis Stolla? Duuh
 
advocate Francis Tolah ni mojawapo ya smart advocates ndani na nje ya Tanzania. I know him personally. soon atakuwa judge hapa Tanzania.

What are the bona fides of his smartness?
 
Kati ya Mawakili mahiri nchini ni Wakili Francis Stollah. Huyu Wakili anajua sana kujenga hoja na kutoa ufafanuzi fasaha kwa jambo linahusu masuala ya sheria. Namshauri Mhe. Rais amteue kuwa Jaji katika Mahakama Kuu ya Tanzania na hapo mwanga wake utakapowaka na mengineyo yatafuata. HONGERA SANA ADVOCATE FRANCIS STOLLAH.
 
hamna kitu hapo, hao wakiwa hapo wanatafutaga ujaji tu hawanaga maslahi na raia, si rais wa tanganyika law society huyo, hana lolote huyo.

unasumbuliwa na wivu tu huyu jamaa yupo vizuri nishamsikiliza sana!
 
Uwakili ni kujitangaza na kujipigia chapua kwa vijambo vyenye manufaa kwako.

Hana lolote huyo,wote uwaonao kwenye TV wanatafuta umaarufu kwa nguvu...wachache huenda kwa uzalendo wa mambo yaendeleayo kwenye nchi hii.

Walio makini twawajua kwa utendaji na kazi zao nzuri.
 
kwa upande wangu, francis stollah ni wakili mzuri, na hatua ya yeye kuchaguliwa na wanasheria wasomi kuwa kiongozi wa TLS inathibitisha, hivyo basi tuache wivu.
 
kwa upande wangu, francis stollah ni wakili mzuri, na hatua ya yeye kuchaguliwa na wanasheria wasomi kuwa kiongozi wa TLS inathibitisha, hivyo basi tuache wivu.
Vigezo vya kuwa kiongozi ni vipi weka merits ili huo wivu uonekane dhidi ya misifa ya kufagiliana!!!!!
 
Back
Top Bottom