PostGE2025 Wakili Fulgence Massawe: Serikali ya Tanzania inatumia vibaya sheria ya UHAINI

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania , wanakosoa namna serikali imeanza kuitumia vibaya sheria ya makosa ya uhaini, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, waandamanaji waliokamatwa kusomewa shtaka la uhaini.

Wakili Fulgence Massawe ni mkurugenzi wa utetezi na mageuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania.

Haya yanajiri wakati huu viongozi zaidi wa chama kikuu cha upinzani Chadema Pamoja na wanaharakati wakiendelea kukamatwa.

Pia Soma: Wengine 10 Sumbawanga wapindishwa kizimbani kwa makosa ya uhaini, Idadi yafikia watu 330 nchi nzima
Your browser is not able to display this video.
 
Akili ya mama!
Ndio inaongoza nchi...ikumbukwe alipata zero form 4!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…