lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 205
- 769
Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole amefungua kesi mahakama kupinga ulazima wa hukumu ya kifo kwa watu wanaofanya makosa husika mfano kuua kwa kukusudia. Hoja ya Jebra Kambole ni kwanini iwe lazima kwa mahakama kutoa hukumu ya kifo kwa mtuhumiwa wa makosa husika bila kuwepo na option nyingine ikiwemo mahakama kupata nafasi ya kutafakari mazingira halisi ya kesi husika?
Ikumbukwe kuwa hukumu ya kifo imewahi kuchukua nafasi ya mahakama ya rufani katika kesi ya Mbushuu and another vs Republic ambapo mahakama ilisema hukumu hiyo ni halali na haipingani na katiba. Mahakama ya rufani ilikuwa ikijibu hoja za Jaji Mwalusanya aliyeitangaza adhabu ya kifo kuwa batili