JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA WATIWE HATIANI:-
1. Je, binti aliyebakwa na kulawitiwa anawatambua washitakiwa wote wanne waliombaka na kumlawiti? Maana hakupata fursa ya kuangalia sura zao kutokana mazingira yaliyokuwepo.
2. Je, ushahidi muhimu usio tia shaka ni upi? ile video ya mitandaoni itapingwa sana na mawakili wa utetezi mahakamani kwa sababu haina sifa kiushahidi: aliipiga nani? kwa njia gani? lini? ni yenyewe kweli au ni nakala iliyohaririwa kuwaingiza washitakiwa kwa nia ovu? hiyo video ilihifadhiwa wapi na nani?, washitakiwa kufanana na waliomo kwenye video haimanishi ndio wao, maelezo yao ya kukiri kosa polisi sio ya kuaminika na watayakataa kwamba hayakuwa ya hiari kutokana na vitisho, nk.
3. Anayesemekana kutuma hao vijana yupo wapi ili athibitishe ni hao? Kwa nini yeye mwenyewe sio mashitakiwa?
ILA KWA JICHO LA KAWAIDA LA JAMII BILA KUZINGATIA UFUNDI WA KISHERIA, USHAHIDI WA VIDEO UNAONEKANA UNATOSHA KUWATIA HATIANI.
A. A. Komba, SC, Esq.
(Criminal Lawyer)
ADVOCATE