Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
===
MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU
Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui Dunia inaelekea wapi.
Mbowe ana Mentality ngumu sana kueleweka na watu wenye akili timamu. Mtu mzima mwenye heshima kubwa anapoongea namna hii, ni mentality mbaya sana.
Kwa Utashi wake, kupumzika au kustaafu Uongozi ili kuwapa wengine nafasi ya kuongoza, Mbowe anaita ni ABANDONMENT. Yaani anakuwa AMETUPWA!
Mentality yake bado ipo kwenye Utukufu Binafsi, na sio UTAASISI. Haamini kwenye kupokezana kijiti.
This mentality typically belongs to few African people who are Politically uncircumcised. Their Political Mentality is not Born again. The super primitive and barbarians!
Politically not baptised in the Essence of Democracy, Good Governance and Human Civilization.
CHADEMA ni Mwanachama wa International Democracy Union (IDU), na Mbowe ameorodheshwa miongoni mwa Viongozi wa Umoja huo ambao Core Values zake ni pamoja Demokrasia na Utawala bora. Picha yake yenye pozi imewekwa katika ukurasa rasmi wa Umoja huo wa Watu Wastaarabu, lakini miaka yote ya uwepo wake bado Mbowe ni mweupe kichwani somo la Democrasia, Utawala Bora na Ustaarabu wa Mwanadamu halijamuingia. Bado ni King'ang'anizi!
Mbowe ni Mwenyekiti mwenza wa Democrat Union of Africa (DUA), lakini bado somo la Essence of Democracy and Human Civilization hajalielewa.
Amekaa na Wastaarabu wa Dunia, ambapo Malengo makuu ya I.D.U ni kufundishana na kushirikiana kupaza sauti kuhusu Demokrasia; lakini ameondoka na DIVISION ZERO.
Bado anauishi ushamba wa Kiafrika wa kung'ang'ania Madaraka. Tabia za Mporipori. Tabia ambazo IDU na DUA huzilaani na kukemea sana!
Amekaa kati yao lakini hajajifunza lolote. Injili ya Demokrasia haijamuingia. Hajaongoka na kuipokea Imani ya Wastaarabu wa Dunia na kubatizwa kuwa Kiumbe kipya cha Afrika.
Mbowe ni Mpagani wa Demokrasia! Anaswampa na tabia zake Pori kwa pori. Yupo kivyake, hafanani na IDU wala DUA!
Huyo amejiandaa kuwa mtawala wa milele hadi Mungu atakapoamua Ugomvi (kama alivyowahi kusema Nape). Sio Kiongozi wa Taasisi bali amejiweka kwenye nafasi ya MMILIKI wa Taasisi.
Ni Mfano wa Mtu anayemiliki RANCHI aliyorithishwa na Famili; Wanachama wengine wote anawaona kama Mifugo katika Shamba lake la urithi.
Hana wazo la kuamini Ng'ombe yeyote shambani mwake kuvaa viatu vyake.
Ndiyo maana anashangaa na kuchanganyikiwa kuona Mifugo inamtaka apumzike. Ni ndoto, hafikirii kama ni kitu halisi bali anahisi akiamka usingizini atajiona alikuwa anaota tu. 'Haiwezi kuwa kweli kwamba leo Mifugo inamtaka Tundu Lissu aongoze badala yangu.'
Hayo ndio mawazo yako. Na ana hasira Mifugo inamkosea adabu na heshima ndiyo maana anajiapiza "Baada ya Uchaguzi tutachukua hatua kali."
Akishinda Uchaguzi kuna ng'ombe atawachinja na kuuza kitoweo kijijini watu wampe hela tu. Atawala vichwa vyao Supu ya Kongoro na Chapati!
KAZI KWA WAPIGA KURA KUMWAMBIA KWA VITENDO kwamba CHADEMA sio Ranchi ya Mifugo, na Wanachama waliopo sio Ng'ombe katika Shamba la Ukoo wa Mbowe.
******************************************* #########################
Discussant's Summary!
Andiko hili la Wakili Livino linaeleza ukosoaji mkali dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, likimshutumu kwa kushindwa kuelewa na kuzingatia misingi ya demokrasia, utawala bora, na ustaarabu wa kisasa. Hoja za msingi zinazotolewa katika andiko hili ni kama ifuatavyo:
1. Kukosekana kwa Uelewa wa Demokrasia na Utawala Bora
I) Livino anamtuhumu Mbowe kuwa na " mentality " ya kifamilia inayokosa utashi wa demokrasia ya kweli. Anaeleza kuwa Mbowe hajabatizwa kisiasa wala kufuata maadili ya demokrasia, licha ya kuwa sehemu ya mashirika ya kimataifa kama International Democracy Union (IDU) na Democrat Union of Africa (DUA).
II) Anasema kuwa Mbowe ameishi kati ya viongozi wastaarabu wa dunia lakini hajajifunza chochote kuhusu misingi ya demokrasia na ustaarabu wa kibinadamu. Badala yake, anaendeleza tabia za kung’ang’ania madaraka.
2. Kung’ang’ania Madaraka na Tabia za Kikabila
I) Mbowe anaelezewa kuwa ni mfano wa kiongozi wa Kiafrika anayeshikilia madaraka kwa mtazamo wa urithi wa kifamilia. Livino anafananisha uongozi wa Mbowe na mtu anayemiliki ranchi, akiona wanachama wa CHADEMA kama mifugo ndani ya shamba lake.
II) Anadai kuwa Mbowe hana wazo la kuruhusu wengine kuongoza, na huona hoja ya kupumzika kama kitendo cha kutupwa ("abandonment").
3. Kutojali Utawala wa Taasisi
I) Mbowe anatuhumiwa kwa kushindwa kubadilisha mtazamo kutoka kwa uongozi wa mtu mmoja kwenda uongozi wa taasisi. Livino anaeleza kuwa Mbowe haamini katika kupokezana kijiti, akisisitiza kuwa anaamini CHADEMA ni mali yake binafsi.
II) Andiko hili linatoa mfano wa kauli za Mbowe, kama vile kuchukua hatua kali baada ya uchaguzi, ili kuonyesha kuwa ni kiongozi mwenye hasira dhidi ya wanaompinga ndani ya chama.
4. Kushindwa Kuendana na Maadili ya Kimataifa
Licha ya kushiriki katika mashirika ya kimataifa yenye lengo la kuimarisha demokrasia, Livino anasisitiza kuwa Mbowe hajabadili tabia zake. Anaendelea kuwa "mpagani wa demokrasia" mwenye tabia za kizamani na kung’ang’ania madaraka.
5. Changamoto kwa Wanachama wa CHADEMA
Mwisho, Livino anatoa wito kwa wapiga kura wa CHADEMA kumweleza Mbowe kuwa chama hicho si mali binafsi bali ni taasisi ya wanachama. Anasisitiza umuhimu wa kuonyesha kwa vitendo kuwa wanachama hao si mifugo wa ranchi yake.
Hitimisho
Andiko hili linaonyesha ukosoaji wa kina wa mwenendo wa uongozi wa Freeman Mbowe, likimshutumu kwa kushindwa kuendana na maadili ya kisiasa ya kisasa. Livino anatoa changamoto kwa wanachama wa CHADEMA kuhakikisha kuwa demokrasia ya kweli inashinda dhidi ya kung’ang’ania madaraka ya mtu mmoja.