Wakili maarufu arusha akutwa na tsh 40 billion za AL shaabab

mwakichi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2011
Posts
417
Reaction score
97
wakili maarufu mjini arusha ashikiliwa na polisi kwa order kutoka marekan baada ya kugundulika akaunt yake ya benki ya stanbic tanzania kua na kias cha tsh 40bill..wakili huyo alishikwa ktk gari yake ya kifahari aina ya escelade na kukutwa na tsh million 20 ambazo alisema ni za matumizi yake madogo madogo ya siku..kwa taarifa zilizo rasmi zinanasema wakili median mwali anahusiano na al shabab na interpol walimfatilia kwa karibu mpaka kumtia hatian hivi majuzi.....

serikal ya tanzania iko wapi mpaka tuwe tunapokea taarifa kama hizi kupitia interpol?hawa usalama wa taifa kazi yao nin?
 
Kama usemayo ni kweli, 20 m matumizi madogo madogo ya siku, hii ni kubwa kuliko!
 
(JamboJema;2341831]Kama usemayo ni kweli, 20 m matumizi madogo madogo ya siku, hii ni kubwa kuliko)
mi nauhakika c wote tunaishi tanzania,kuna wengine tanzania yao ni kama america
 

Kufuatilia watu wanaomega waume na wake za watu!
 
Toooba!!!kweli Tanzania kuna wazee wa vijisenti zaidi ya tujuavyo...nchi maskini lakini watu wachache wana pesa mpaka 20m inaitwa ni pesa ya matumizi madogo madogo?huyu angeweza pia kusema hata 20m ni pesa ya chai!!??huku kazolamimba hata chai ya 500 kwa familia nzima haipatikani..
 
Na bado nasikia kuna wengine wanasafiri na makapu ya mabunda ya noti utafikiri benki. Bora huyo za AL Shabab hawa wangine hazijulikani wanazipata vipi na niza nini??????????
 
sijui kwanini sikusoma sheria,inaonekana wanasheria nchi hii wanatengeneza mapesa sana,
chenge,mkono,marando,mawalla,IMMA, nk yaaniiiiiii
 
7tanbic si ya wasomali hii benki..kwani alshabab dhamb kuwa na pesa.
Hawa marekan wamezoea dhuluma na god mwaka huu kawakalia vibaya wanafiliska tu
 

Ndugu yako nini mkuu, maana naona unatetea sana huyu mtu. Katika hali ya kawaida kama ataweza kuonyesha jinsi alivyoweza kupata hiyo ngawira itakuwa haina shida. Katika nchi yoyote ni kitu cha kawaida kwa wanausalama kufuatilia pale wanapoona mtu anatengeneza pesa nyingi kiasi hiki tena kwa muda mfupi...kesi gani amesimamia kuweza kutengeneza cash kubwa kiasi hicho, biashara gani anafanya etc.. acha hasira
 
Punguza ukali ndugu, mbona unatoa povu? Wacha watu wajadili mambo
 
Namfahamu Mwale tangu anasoma Enaboishu miaka ya 1980s ni msiri sana anything ma be true. Baba yake pia alikua na pesa sana so ............
 
Hapo kwenye RED.....Nahisi hata kama wangekuwa wanajua wasinge sema.....wanaweza wakawa wamemegewa fungu ndio maana waka kaa kimya....yani aibu kweli kweli na uwozo hiyo idara.
 
Daily News Today says only 18Billion in his account.
 
<font color="#0000cd"><font size="3"><b>Na bado nasikia kuna wengine wanasafiri na makapu ya mabunda ya noti utafikiri benki. Bora huyo za AL Shabab hawa wangine hazijulikani wanazipata vipi na niza nini??????????</b></font></font>
<br />
<br />
Mtumishi! Hakika hawa wa2 sijui wana malengo gani na mapesa yote hizi! Mmmm!!
 
<br />
<br />
eee,umejibu kwa jazba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…