Wakili maarufu arusha akutwa na tsh 40 billion za AL shaabab

MI6136
Join Date : 7th August 2011

Posts : 5
Rep Power : 0

Mbona hii issue haieleweki mara bilion 6 mara bilion 18 ila wewe ndo umefunga hesabu

e bwana hebu tupe sources maana kuna story tofauti mara kakutwa nazo crdb bilioni 6 mara bilioni 18 ila wewe unanishtua na hiyo al shabaab

Mawakili wengi wanapata fedha nyingi kwa kazi zao naamini kazipata kihalali c dhani kama ni mjinga kuziingiza fedha hizo bank kama zingekuwa chafu ni majungu tu huyo wakili ukoo wao ni wa matajiri alirithi kampuni ya baba yake aliyekuwa wakili enzi hizo na alikuwa na hela mbayaaaaa cshangai na yeye kuwa na helaa nyingi ni majungu tuuuu na subiri atakavyoigaragaza kesi mahakamani na kudai fidia kabambe kweli wajinga ndo waliwao hivi kabla ya kumkamata walikuwa na inteligensia ya kutosha isije ikawa kama ishu ya maandamano ya cdm ila kwa kawaida polisi hukamata kwanza na kuanza uchunguzi itawacost sana hiyo!!!!

Mbona hii issue haieleweki mara bilion 6 mara bilion 18 ila wewe ndo umefunga hesabu

Inawezekana akili yako ni finyu kama pale mkojo wako unapofikia ndio akili yako inapo ishia, usifikiri watu wanafanya kesi tu ndio wanpata hela kijana, the issue here sio kupinga mtu kuchunguzwa na usalama, issue hapa ni TAARIFA, Toa taarifa za kweli sio umbea, swa la undugu linaweza kua maneno tu ambayo hata nyuma ya kanga yapo na kwa msisitizzo yanakaa nyuma kwa kua hayana maana, ila wajinga kama wewe hua ndio wanaoyatilia maaana

Mkuu binafsi naona mtoa maada hajakosea lolote katika kui post hii thread, kama kimtazamo hujaenda nae sawa muumbue kwa hoja na wala si kwa kauli kama hizo kwenye red, kimsingi that kind of attack makes no sense at all.

a silly question deserves a silly answer, the same applies to silly arguments, it is embarrasing kwa mtu mzima kama wewe sijui nani siju BABA V kushabikia upuuzi wa huyu bwana, taaarifa ya habari ya tbc ya tarehe tisa siku ya mwezi wa nane mwaka huu ilisema anashitakiwa kukutwa na billion mbili na sio 40 ama kumi na nane, ni hoja gani ambayo ulitaka mimi ni ijibu kwa huyu mkosa akili mwenzako?, je inahitaji mtu kua proffesor kutofautisha maji na mafuta? Unja maneno yako kbla ya kuyaongea, inawezzekana wewe pia ufikiri wako ni mfinyu sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…