acha upotoshaji gentleman,Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo ambalo wananchi wanalichukia sana.
Kufuatia Mhadhili wa Chuo kikuu kubambikwa kesi ya Ugaidi akiwa anafundisha darasani hali iliyoleta sintofahamu na hofu kubwa kwa walimu wa chuo pia.
Tayari vijana kadhaa wamebambikwa kesi za Ugaidi na Waziri wa mambo ya ndani kasisitiza kua ni MAGAIDI na washughulikiwe.
Mtaani panaendelea kuwepo na wimbi la wananchi wenye hasira kali dhidi ya vyombo vya dola na watawala (maana hawa sio viongozi).
Je panaweza kuibua maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza dola itende haki na isitumike kisiasa ?
Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo ambalo wananchi wanalichukia sana.
Kufuatia Mhadhili wa Chuo kikuu kubambikwa kesi ya Ugaidi akiwa anafundisha darasani hali iliyoleta sintofahamu na hofu kubwa kwa walimu wa chuo pia.
Tayari vijana kadhaa wamebambikwa kesi za Ugaidi na Waziri wa mambo ya ndani kasisitiza kua ni MAGAIDI na washughulikiwe.
Mtaani panaendelea kuwepo na wimbi la wananchi wenye hasira kali dhidi ya vyombo vya dola na watawala (maana hawa sio viongozi).
Je panaweza kuibua maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza dola itende haki na isitumike kisiasa ?
Hizi kesi za ugaidi wanachukulia poa kjmbakia watu, siku magaid original wakipiga tukio ndio wataelewaKwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo ambalo wananchi wanalichukia sana.
Kufuatia Mhadhili wa Chuo kikuu kubambikwa kesi ya Ugaidi akiwa anafundisha darasani hali iliyoleta sintofahamu na hofu kubwa kwa walimu wa chuo pia.
Tayari vijana kadhaa wamebambikwa kesi za Ugaidi na Waziri wa mambo ya ndani kasisitiza kua ni MAGAIDI na washughulikiwe.
Mtaani panaendelea kuwepo na wimbi la wananchi wenye hasira kali dhidi ya vyombo vya dola na watawala (maana hawa sio viongozi).
Je panaweza kuibua maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza dola itende haki na isitumike kisiasa ?
Ulevi ni Ugaidi kwa CCM nyie eti?acha upotoshaji gentleman,
yule sio wakili maarufu ni wakili mlevi π
mpumbavu sana weweacha upotoshaji gentleman,
yule sio wakili maarufu ni wakili mlevi π
Katuga ndiye wakili maarufu wewe Dada chawa?acha upotoshaji gentleman,
yule sio wakili maarufu ni wakili mlevi π
Oops π¬mpumbavu sana
jikite kwenye hoja mahususi mezani mama Ima na itapendeza zaidi πKatuga ndiye wakili maarufu wewe Dada chawa?
relax muerevu,mpumbavu sana wewe
jamaa anaesota korokoroni ni mlevi na tapeli tu gentleman, hakuna haja ya kuweweseke sana πUlevi ni Ugaidi kwa CCM nyie eti?