Wakili Madeleka: Askari Wapimwe Utimamu wa Akili

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Hayo ni maoni ya Wakili maarufu wa kutetea haki za binadamu
Wakili Peter Madeleka ameshauri ufanyike usahili wa utimamu wa akili kwa Askari Polisi waliopo kwenye Majeshi.

Wakili Madelekea amesema ili kuweza kusaidia ni wa ngapi wana akili timamu ili kutumikia Majeshi yetu,ili wale wanao onekana akili zao zimeshapungua waondolewe na kuchukuliwa vijana wengine wapelekwe.
 
Mie nimesema mara nyingi ile harufu mbaya ya vituo vya Polisi wanayoivuta kila siku ina athari mbaya kwenye ubongo kuliko bangi ya Njombe! Ukivuta ile harufu muda mrefu inakuharibu kichwani. Nimeomba sana watafiti walichunguze hili.
 
Hivi unahangaikaje na askari aliye kupiga virungu, makofi n.k

Si unaend tu kumtembelea akiwa nyumbani na familia yake unamsalimia then unamuambia, bwana ulicho nifanyia sio kizuri.

Saa nyingine unamtegea anatoka kazini au matembezini Kwake unamsimamisha then mnamalizana Kwa haki na busara kabisa.!

Ku deal na muhusika ni bora kuliko ku generalize.!
Nao ni binadamu wakiona wanatembelewa na kufanya majadiliano binafsi na muhanga watajifunza kitu.!

Lazima at least uwe na credit 3

Shida ipo wapi nyie watanzania Kila siku kulia Lia tu.!
 
Duh, mzee una busara sana. Sema hicho unachokipendekeza hakiwezi kufanyika hapa Tanzania, na kama kikifanyika itakuwa kinyume chake, Polisi watatembelewa makwao ili washughulikiwe.​
 
ni vizuri zaidi akapimwa yeye maana kesi zake zote za mbwembwe zinabumbakaga yawezekana utimamu una tatizo anapo leta mbwembwe kuzisimamia na kisha watu wanapoteza haki zao 🐒
Unajua actual alikuwa police tena nyota mbili, so anajua anacho kisema
 
Mkuu: Awadh
Awadh: Naam.
Mkuu: Wagonge kishenz leo.
Awadh: Ndiyo
"NDIYO" ....Just Obey.
 
Hayo ni maoni ya Wakili maarufu wa kutetea haki za binadamu
Wakili Peter Madeleka ameshauri ufanyike usahili wa utimamu wa akili kwa Askari Polisi waliopo kwenye Majeshi.

Wakili Madelekea amesema ili kuweza kusaidia ni wa ngapi wana akili timamu ili kutumikia Majeshi yetu,ili wale wanao onekana akili zao zimeshapungua waondolewe na kuchukuliwa vijana wengine wapelekwe.
Wote wenye msongo wa mawazo kiasi cha kuweza kudhuru watu waondoshwe kwenye vyeo vyao na wasiruhusiwe kushika silaha hadi watakapo thibitishwa kitabibu kama wamepona.
 
Back
Top Bottom