Wakili Madeleka: CHADEMA siyo gereza wala kaburi nikiingia naweza kuamua kutoka

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakili madeleka amefunguka sababu ya yeye kutoka Chadema, ikiwa ni baada ya kuhama na kuwa mwanachama wa ACT Wazalendo


Your browser is not able to display this video.
 
Anatafuta kiki... Hakuna anayemtaka
 
Vipi kesi dhidi ya Pauline Gekul wakili msomi Madeleka?
 
Ili mtu apate attention ni lazima ajibebishe kwa chadema hata kwa kuitaja tu.

Huyu mchumia tumbo ni lini alikuwa chadema?
 
Kwa calibre yake angekuwa CDM angefika mbali,bahati mbaya sana yupo uvugu uvugu haieleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…